Watu Hawa hawazaliwi mara kwa mara na pengine Kila nchi huweza kupata mara Moja kwa miongo kadhaa
Sifa ya watu Hawa Huwa hawapendwi na waovu na pia hata wao wenyewe hufika pahala wakajikataa
Hebu msomeni Martin Luther na hata kina Che Guevara
Watawala na wabadhirifu hutumia nguvu kubwa kuwaminisha umma kuwa watu wa aina hii ni hatari hawapaswi kupewa nafasi lkn kinyume chake ni kuwa ni hatari kwao wenyewe watawala na ni manufaa makubwa kwa umma
Hebu nendeni pale Lusaka mkamuone Hakainde Hichilema mtanielewa ninachokisema
Pamoja na kwamba watu Hawa Huwa na mapungufu flan kwa Kule kwao kujali haki za watu Hadi wanapitiliza Hali hii huwafanya kusahau kidogo kuhusu masiala ya uchumi
Watawala wengi wa Dunia hupenda kuwauwa watu kama Hawa misiba kama ya kina
Moringe Sokoine
Samora Mashel
Patrice Lumumba
Ken Sarowiwa
Robert Ouko na nk yooote husababishwa na watu wa Dunia kutowapenda watu watetezi wa haki
Tundu Lisu sijui Mungu Mwenyezi kakupangia nini lkn nitoe wito watanzania tuamke tumsaidie Tundu Lisu dhidi ya Dola na matapeli wa kisiasa kina Mbowe wasimuangamize