#COVID19 Watu karibu 700 wafariki kwa COVID-19 Ujerumani

#COVID19 Watu karibu 700 wafariki kwa COVID-19 Ujerumani

Hali ya utalii itazidi kuwa ngumu hapa chuga tutaheshimiana tu..
Siku hizi maboss wa Tuaz nao wanauza nyanya..
 
Taifa letu linajifunza nini kutokana kupamba moto wa Corona huko Ulaya na Merikani katika majira haya ya baridi katika Mataifa hayo - mambo yanavyo elekea Dunia inakumbwa na COVID-19 katika phase ya pili - je,Serikali yetu pamoja na wizara ya afya na wizata ya utalii wamejipangaje kukabiriana na phase two ya COVID-19 ambayo italetwa na watalii na wagine kutoka mataifa ya Ulaya na Merikani - tusipo kuwa makini ungonjwa huu utalikumba Taifa letu kwa mara ya pili, this time around could be worse - God forbid.
Jana nlikuwa beach kigamboni nikaona mazee ya kizungu(yapo kwenye 70s au 80s) yanacheza na vibinti vibichi(20s) majini
Nikasema daah hawa wajinga wamekimbia huko lockdown na macorona yao halafu wakija huku wanajimix na watu ile noma
 
Hii corona itatuletea watalii wengi sana. Kipindi hiki kwao ni winter ndio itashika kasi zaidi.
Kwa sisi ni joto kali tutasurvive.

Pia tuna ulinzi wa MUNGU mwenyewe. MUNGU ni Mwema sana sana.

Tuwakaribishe waje washuhudie jinsi MUNGU anavyoweza kulinda Taifa lililochagua kumuamini maana wao waliacha siku nyingi kumuamini MUNGU.
 
Tusifanye ajizi - baadhi ya Mataifa ya Ulaya yameanza kupiga marufuku ndege za kutoka Uigereza na Afrika Kusini, wanasema COVID-19 ya kutoka mataifa hayo mawili imethibitika kwamba hiyo ni STRAIN mpya!! What does that tell us as a Nation, it means itakuwa more virulent kuliko strain ya mwanzo, ndio maana Waziri Mkuu wa Uingereza alionekana ana wasi wasi sana wakati alipo kuwa anawaonya raia wa Uingereza wasitoke nje ya nyumba zao ovyo ovyo na wa avoid mikusanyiko.

Binafsi naona Taifa letu lina paswa kuiga Mataifa ya Ulaya yaliyo piga marufuku ndege zinazo toka Uingereza na Afrika kusini,ila tatizo hatujui ndege za barani Afrika zinazo kwenda na kutoka Afrika kusini wamiliki wake wanatoka mataifa yapi ya Afrika, mfano: tusije kuruhusu ndege za Malawi,Zambia,Zimbabwe na Rwanda nk huku kumbe na zenyewe usafiri kwenda na kurudi kutoka Afrika Kusini possibly na Uingereza - hapo kuna changa moto jinsi ya kuzidhibiti zisije kikawa ni chanzo cha vector wa kueneza ugonjwa.
Hata mwanzo watu walitahadharisha hivyo hivyo ndio maana nikauliza corona ile iliishia wapi hadi sasa tuna tahadharishana huo ujio wa pili.
 
Back
Top Bottom