matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Naamini kwa wanavyopendwa sasa hata wangesema 10K kwa mzungukp bado wangejaza watu.Hakika, Bora waingie watu 5000 kwa malipo kuliko kuingiza watu 40,000 wasio na faida.
Unakuta timu inashambuliwa wanakaa kimya kama vile hawapo.
Yanga waache haya mambo wanawalemaza mashabiki wao.
Mboni kuna mpaka maporini ya bure webwana unataka kusemaje?Tabia ya watu kuingia uwanjani bure kuangalia Match ambayo walipaswa kulipia ni kuhamasisha uvivu wa kitaifa.
Mentality za ubure ni mentality za kuhamasisha umasikini. Watu wazoezwe kuwajibikia na kughalimikia burudani zao.
Ni hilo tu
Anatafuta achokoleweSasa hapo una anzisha vita ya wazi kabisa kwa uto..wakianza kuku popoa mawe sie tutakuwa wapenzi wasomaji tu japo umeongea ukweli.
Ladies free sio feeNi kama ladies fee hivi
TypoLadies free sio fee
Naunga mkono hoja.Tabia ya watu kuingia uwanjani bure kuangalia Match ambayo walipaswa kulipia ni kuhamasisha uvivu wa kitaifa.
Mentality za ubure ni mentality za kuhamasisha umasikini. Watu wazoezwe kuwajibikia na kughalimikia burudani zao.
Ni hilo tu
sahihi tupuTabia ya watu kuingia uwanjani bure kuangalia Match ambayo walipaswa kulipia ni kuhamasisha uvivu wa kitaifa.
Mentality za ubure ni mentality za kuhamasisha umasikini. Watu wazoezwe kuwajibikia na kughalimikia burudani zao.
Ni hilo tu
mashabiki wao hawana hela watafanyaje sasa 😂Hakika, Bora waingie watu 5000 kwa malipo kuliko kuingiza watu 40,000 wasio na faida.
Unakuta timu inashambuliwa wanakaa kimya kama vile hawapo.
Yanga waache haya mambo wanawalemaza mashabiki wao.
Wasio na faida??? hakikisha unasomesha watoto bro, wasije kuwa kama weweHakika, Bora waingie watu 5000 kwa malipo kuliko kuingiza watu 40,000 wasio na faida.
Unakuta timu inashambuliwa wanakaa kimya kama vile hawapo.
Yanga waache haya mambo wanawalemaza mashabiki wao.