Watu kulala hovyo kwenye madaldala ni dalili ya njaa kali!

Tatizo ni kula ugali mkubwa au mihogo asubuhi.
 
Huwezi kupata usingizi na njaa ,wameshia hao acha walale
 
Watu wanasinzia tu sasa hovyohovyo kwenye daladala; ile mtu amekalia tu siti na gari kujitikisa kidogo tayari usingizi......na mara kadhaa udenda pia.

Panda daladala za routes zote sasa hapa Dar hali ni hiyo. Mtu anapanda buguruni sheli anashuka sokota lakini hafiki bila kusinzia. Nenda nje ya dar......pwani, Dodoma, lindi, mtwara hali ni hiyohiyo. Kesi za watu kupitishwa, sorry, kujipitisha vituo zimekuwa nyingi sasa. Mtu anazinduka usingizini tayari kapita kituo.

Haya ni matokeo ya uchunguzi wangu wa miezi mitano sasa katika maeneo niliyoyataja kwani nipo humo karibu kila siku. Dar ndipo uchunguzi wangu kwa kiasi kikubwa umefanyika (nimeichunguza dar kuhusu hili kwa 98%). Siku za nyuma hali haikuwa hivi kabisa.....

Mama Samia, hali hii imenipatia majibu kuwa ni kutokana na ugumu wa maisha mama; hali ngumu mtaani si mchezo.......vyakula haviliki, kwani wengi hawana uwezo wa kununua mchele kilo tshs. 4,000/= wala kununua maharage 3000/=.
Ada hakuna lakini mfumuko wa hivyo vifaa vya shule si mchezo.......wazazi hoooi.
Hali imekuwa tafrani kiasi watu wanaumwa lakini hata hawajui kama wanaumwa, wanatembea tu na kuhangaika.

Si mkulima, si asiye mkulima; wote hoooi.

Mama mswalie mtume, fikiria namna ya kutukwamua......kama vipi mazao yazuiwe tu kutoka nje kama zamani kwani kwa sasa hata wakulima wenyewe (nazungumzia hawa wadogo wadogo ambao ndo 99%) hawana hela wala chakula; kumbe wanaofaidika na ruhusa hii ni wafanyabiashara wa mazao ya chakula na wakulima wakubwa (ambao ni 1% tu).

Nawasilisha.
Uwe na njaa ulale we kweli poyoyo. Hiyo ni shibe km hujui.
 
Kuna mmoja jana alitakiwa kushuka itv ,kutokana na kusinzia akashtuka gari likiwa mataa yakuingiaa makumbusho stend aisee alimtukana kondaa utafikirii konda ndio alimwambia alale
Kisheria konda anatakiwa kutangaza kila kituo
 
Watu wanasinzia tu sasa hovyohovyo kwenye daladala; ile mtu amekalia tu siti na gari kujitikisa kidogo tayari usingizi......na mara kadhaa udenda pia.

Panda daladala za routes zote sasa hapa Dar hali ni hiyo. Mtu anapanda buguruni sheli anashuka sokota lakini hafiki bila kusinzia. Nenda nje ya dar......pwani, Dodoma, lindi, mtwara hali ni hiyohiyo. Kesi za watu kupitishwa, sorry, kujipitisha vituo zimekuwa nyingi sasa. Mtu anazinduka usingizini tayari kapita kituo.

Haya ni matokeo ya uchunguzi wangu wa miezi mitano sasa katika maeneo niliyoyataja kwani nipo humo karibu kila siku. Dar ndipo uchunguzi wangu kwa kiasi kikubwa umefanyika (nimeichunguza dar kuhusu hili kwa 98%). Siku za nyuma hali haikuwa hivi kabisa.....

Mama Samia, hali hii imenipatia majibu kuwa ni kutokana na ugumu wa maisha mama; hali ngumu mtaani si mchezo.......vyakula haviliki, kwani wengi hawana uwezo wa kununua mchele kilo tshs. 4,000/= wala kununua maharage 3000/=.
Ada hakuna lakini mfumuko wa hivyo vifaa vya shule si mchezo.......wazazi hoooi.
Hali imekuwa tafrani kiasi watu wanaumwa lakini hata hawajui kama wanaumwa, wanatembea tu na kuhangaika.

Si mkulima, si asiye mkulima; wote hoooi.

Mama mswalie mtume, fikiria namna ya kutukwamua......kama vipi mazao yazuiwe tu kutoka nje kama zamani kwani kwa sasa hata wakulima wenyewe (nazungumzia hawa wadogo wadogo ambao ndo 99%) hawana hela wala chakula; kumbe wanaofaidika na ruhusa hii ni wafanyabiashara wa mazao ya chakula na wakulima wakubwa (ambao ni 1% tu).

Nawasilisha.
Bei ya vyakula iko juu na sio rafiki kwa mlaji,
Tatizo unamaneno mengi yasiokua na tija kwenye uandishi wako
 
Mbona mimi nikishiba napata usingizi kwahiyo hili nalo unasemaje mleta mada?

Japo kweli huyu maza kuna mambo haendi sawa ila sio kila lawama abebeshwe kukaa na njaa hapa bongo ni ujinga wako sio kila kitu ulaumu raisi.

Hiko kipindi cha magu chenyewe watu walikua na njaa kama kawaida mbona hamkuongea japo naye ana yake alizingua ila alipofanya vyema tulisifia alipozingua tulisema
 
Watu wanasinzia tu sasa hovyohovyo kwenye daladala; ile mtu amekalia tu siti na gari kujitikisa kidogo tayari usingizi......na mara kadhaa udenda pia.

Panda daladala za routes zote sasa hapa Dar hali ni hiyo. Mtu anapanda buguruni sheli anashuka sokota lakini hafiki bila kusinzia. Nenda nje ya dar......pwani, Dodoma, lindi, mtwara hali ni hiyohiyo. Kesi za watu kupitishwa, sorry, kujipitisha vituo zimekuwa nyingi sasa. Mtu anazinduka usingizini tayari kapita kituo.

Haya ni matokeo ya uchunguzi wangu wa miezi mitano sasa katika maeneo niliyoyataja kwani nipo humo karibu kila siku. Dar ndipo uchunguzi wangu kwa kiasi kikubwa umefanyika (nimeichunguza dar kuhusu hili kwa 98%). Siku za nyuma hali haikuwa hivi kabisa.....

Mama Samia, hali hii imenipatia majibu kuwa ni kutokana na ugumu wa maisha mama; hali ngumu mtaani si mchezo.......vyakula haviliki, kwani wengi hawana uwezo wa kununua mchele kilo tshs. 4,000/= wala kununua maharage 3000/=.
Ada hakuna lakini mfumuko wa hivyo vifaa vya shule si mchezo.......wazazi hoooi.
Hali imekuwa tafrani kiasi watu wanaumwa lakini hata hawajui kama wanaumwa, wanatembea tu na kuhangaika.

Si mkulima, si asiye mkulima; wote hoooi.

Mama mswalie mtume, fikiria namna ya kutukwamua......kama vipi mazao yazuiwe tu kutoka nje kama zamani kwani kwa sasa hata wakulima wenyewe (nazungumzia hawa wadogo wadogo ambao ndo 99%) hawana hela wala chakula; kumbe wanaofaidika na ruhusa hii ni wafanyabiashara wa mazao ya chakula na wakulima wakubwa (ambao ni 1% tu).

Nawasilisha.
Nadhani katika utafiti wako ungejaribu hata kuonana na wataalam wa lishe uweze kupata uelewa na tofauti za njaa na uchovu.....

Stress ni tatizo kubwa sana na seems hii post yako ni zao la msongo wa mawazo
 
Huo mchele wa 4000 kilo uko wapi?

Korie mwenyewe anauza 18000/5KG
 
Back
Top Bottom