City Owl
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 3,475
- 7,571
Kuona matako ya wazungu wakiwa uchi kwenye movies hushangai wanavyoonwa na dunia nzima ila watu wanaooga ziwani ndo unashangaa???
Anyways, Kanda ya ziwa shughuli nyingi zinazohitaji maji hufanyika ziwani. Kufua, kuosha vyombo na kuoga ni mambo ya ziwani.
Itabidi uzoee tu. Si kukosa ustaarabu, ni kitu cha kawaida sana kwao. Hata maeneo yenye mito watu wengine huoga mtoni.