Mkuu kwa sisi tuliokulia ziwani hiyo ni kawaida sana. Ila kuoga bafuni mlango wazi ni ushirikina.
Siku ukitembea Manyara au Mkoa wa Moro, utakutana na vijana wa Kimang'ti wao huoga mtu na dada yake au group mchanganyiko pamoja huko mtoni na kunyoana sehemu za siri live!!
Kuna siku niko zangu pori kwenye harakati, hamadi nikagumiana na familia ya kimang'ati wako uchi wote yaani baba, mama na watoto wako bize kukata miba ya kutengenezea boma mashuka wamefunga kichwani.
Kwenye jamii za kifugaji hasa hawa mang'ati, baba na watoto wa kike na kiume hulala pamoja kitandani. Baba haruhusiwi kulala na mkewe isipokuwa anaskilizia watoto wakisinzia ananyata anaenda kupiga trip chap kwa mke anarudi tena kulala kwenye group. Mwiko huwezi kumkuta mvulana kawaka tamaa kwa dada yake hata kama atamnyoa vuzi.