Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Leo Spika wa Bunge, Job Ndugai amempiga mkwara waziri wa maliasili na Utalii kutokana na kukanusha vifo kwenye hifadhi nchini, Spika amesema kabla huko nyuma alikuwepo Kagasheki ambae nae alikanusha lakini baadae kamati ya Bunge ikamfanya aondoke
========
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka askari wa TANAPA wawe na utu na sio kufurahia kuwapiga risasi raia wanaoingia hifadhini
Aifdha ameitaka wizara ya Maliasili ikae na askari wao kuchunguza madai ambayo yamekuwa yakitolewa kuhusu raia kuuawa hifadhini
Amesema kwa malalamiko ya sasa inaonesha maaskari ndio kama majangili kutokana na uadui. Amemtaka waziri asiwatetee kwa kuwa bunge linaweza kuunda tume ya kuchunguza malalamiko