THOMASS SANKARA
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,055
- 4,695
Alikuwa daktari mkuu wa mkoa(mganga mkuu)wa arusha anaitwa Dr.SALASH TOURE na alishastaafu miaka kama 5 imepita.Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Asante mkuuAlikuwa daktari mkuu wa mkoa(mganga mkuu)wa arusha anaitwa Dr.SALASH TOURE na alishastaafu miaka kama 5 imepita.
Wema over 30 now. Ni muujiza pekee unaoweza kumsaidia.Jaydee na wema wanaweza pata watoto jamani ,
wema bado mdogo ni juu ya nini? kwa mungu hakuna linaloshindikana ipo siku mtashangaa
Sa jitu linapenda kuua tu linakuaje shoga.... maana ukishindwa kulif..#r@ vizuri linakuondoa duniani sa ndo nn.... watu wataogopa kulidinyaSitoshangaa nikisikia ni shoga.
Shukran mkuuView attachment 760148
Dr. Salash Toure
Makonda
Nakumbuka niliijibu hii. Kwa manufaa ya wengine. Sina hakika km. sababu ya kumchukua ni kwa kukosa mtotot kwa ningeweza chukua kwao. Alisomea Udaktari, Dr. Toure He is a very good. nice. kind Dr. Anaweza kusoma hii clip. Asante Dr. Ni mmoja wa madr. walionazilisha a bouncing baby boy. Mwingine ni Dr. Mlay. Nurse Maradhani???Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaaah jamaa wwTasa la taifa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tupe jina la huyo marehemu,atasubir sana....km alzani alye sema tufanye MTU kwa sura na mfano wetu....alkuwa mjombake atampata mwingne....Wema hayupo kwenye kundi ilo kwa sababu alipata akaitoa so yule afaa aitwe mama wa marehemu
Kwakuwa ni mashoga au!??Sir Elton Jonh
Marvin Gaye (marehem)
Tevin Campbell
Makonda
Hawa labda wazalishwe
Anao kazaa na R.Kam.....watoto 3
Itakuwa mazeri wako ndo alikutoa weKwanini uliitoa ile mimba aliyokupa??