Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

ingekuwa mtihani wengi wangefail...maishani mwao inamaana waliokufa tu...IQ ya panzi
 
Luther Vandros.
Michael Jackson.
 
Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Alirudi tz akawa Mganga mkuu wa mkoa wa Arusha, enzi za kikombe cha babu Loriondo akikuwepo anaitwa Salash Toure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…