Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Bashite wa Kolomije

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vigezo na masharti ya kuorodhesha please! Tunaorodhesha waliokufa tu au na walio hai? ( maana wanaweza zaa eti)
Umri je? Wazee tu au na vijana waliokuwa wachanga?

Mi wangu huyu - Benjamin William Mkapa( ila bado yupo hai)
 
Asante sana mkuu, ninakumbuka hili tukio la kutembelewa na rais pamoja na mama Sekoture, nilikuwa primary darasa 3-4. Siku wa ninafahamu kuwa kijana akitoka Monduli lakini ninakumbuka mavazi meupe ya rais na mama Sekoture
Heshima yako muhenga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bashite hana mtoto toka alipofunga ndoa miaka 6 iliyopita.. Hata za kupandikiza zinachoropoka..
Ndio maana yupo kama kichaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…