Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

1. J. Edgar Hoover - Alikuwa Mkurugenzi wa kwanza wa FBI

2.Marilyn Monroe - Mrembo matata wa miaka ya 1950'a

3. Dr. Hasting Kamuzu Banda - Rais wa Kwanza wa Malawi.

4.Jenerali James Mattis - Waziri wa Ulinzi wa sasa wa Marekani.

5.Patrice Lumumba - Waziri Mkuu wa zamani wa Kongo.
Heee hadi Lumumba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sepenga

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Tujikumbushe watu maarufu kama wanasiasa, wanamuziki, wacheza filamu nk ambao hawakuwahi kupata watoto wa kuwazaa katika maisha yao hapa Duniani.
Wanaweza wakawa ni kutoka hapa Bongo au nje ya Bongo. Naanza na hawa:
1. Kamuzu Banda - Rais wa kwanza Malawi
2. Omar Al Bashir - Rais wa Sudan
3. Steven Kanumba

Unaweza ukaendelea na wewe...

Sasa hao ni maarufu duniani?

Sema Yesu aka Jesus.
 
Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Shikamoo Bibi
 
Hahahhhh anao bana thie wenzio twafahamu
Ni kweli 1 ni wa yule jamaa mkarandasi ni mjeuri aiseee na mwingine ni wa yule injinia yeye akajazia masikio anajidai wa kwake. Jamaa towashi km lipumbafu
 
Back
Top Bottom