Kwa hiyo wewe umefanya ResearchHastings Kamuzu Banda alkua na watoto 3....no research no right 2 speak!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wewe umefanya ResearchHastings Kamuzu Banda alkua na watoto 3....no research no right 2 speak!
Sent using Jamii Forums mobile app
DiamondPaul makonda
Wema sepetu
J. Defoe
Lady Jay dee
Salama Jabir
Jebby
JB
Kanumba
Sharo millionea
WJaydee na wema wanaweza pata watoto jamani ,
wema bado mdogo ni juu ya nini? kwa mungu hakuna linaloshindikana ipo siku mtashangaa
Wanatumia sana sindano hao,ndo maana hawapati watotoJaydee na wema wanaweza pata watoto jamani ,
wema bado mdogo ni juu ya nini? kwa mungu hakuna linaloshindikana ipo siku mtashangaa
Ni gynecologist pale Muhimbili!Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Duh!1. Dolly Parton
2. George Clooney
3. Janet Jackson
4. Condoleezza Rice
5. Cameron Diaz
6. Oprah Winfrey
7. Jay Leno
8. Tyra Banks
9. Queen Latifah
10. Jennifer Aniston
11. Mickey Rourke
Mke mjamzito jamaniMungu wa Darisalama nae yumo
Ujauzito wa kupandikizwa kama alivyo sema Msukuma?Mke mjamzito jamani
Tumwombee kheri na rehema za Mola walahi!
I’ve no clue walahiUjauzito wa kupandikizwa kama alivyo sema Msukuma?
Analea watoto wa MrambaHivi hii huwa ni kweli ? So kwake anaishi na mke tu ?
Oprah alipata mimba ya utotoni, akiwa 13-14yeara hivi ila akajifungua prematurely na mtoto akafariki.Oprah Winfrey
Kuna hii story, sasa sijuwi ndio huyo? Ila hafanani na baba wala mama, anaonekana kama shombe pia...Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Yule aliyetoka Tanzania ni daktariKuna hii story, sasa sijuwi ndio huyo? Ila hafanani na baba wala mama, anaonekana kama shombe pia...
View attachment 760131
Guinea founder's son 'enslaved girl in Texas for 16 years'
27 April 2018
Image caption Mohamed and Denise Touré emotionally and physically abused the girl, investigators say
The son of Guinea's first president Ahmed Sékou Touré has been accused of enslaving a young woman for 16 years at his home in the US.
Mohamed Touré and his wife Denise Cros-Touré, both 57, reportedly brought the girl from Guinea to Texas when she was five years old.
She eventually managed to escape with the help of neighbours.
The couple have been charged with forced labour. If convicted, they face up to 20 years in prison.
Mohamed Touré is the current secretary general of the Democratic Party of Guinea (DPG), which was founded by his father.
He and his wife forced the girl to do housework and look after their children, and also subjected her to emotional and physical abuse, the US Department of Justice said in a press release.
They denied her access to schooling, confiscated her travel documents and forced her to remain in the US after her visa expired, the statement said.
A federal court in Fort Worth heard she slept on the floor and was beaten by Mrs Touré with a belt and electric cables.
'Fabrications and lies'
She would also be shouted at or kicked out of the house without money, identification or the ability to communicate in English.
On one occasion, she was discovered sleeping on a bench by a police officer, who described her as "wearing dirty unkempt clothing" and "very visibly scared and nervous", in a police report, the Washington Post reported.
The officer returned her to the Touré residence, the newspaper says, suspecting she was a runaway.
She is said to have finally escaped from the house in Southlake in August 2016 "with the help of several former neighbours", the Department of Justice statement adds.
The couple's lawyer denied all of the allegations, the Washington Post said.
Scott Palmer told the newspaper they were "salacious allegations, fabrications, and lies". He added that the woman was treated like a daughter.
The DPG was the only legal political force in Guinea during Mr Sékou Touré's 26 years in power from independence until 1984.
Guinea founder's son 'enslaved girl in US'
Jebby anae, alizaa na dem flan pale nkuhungu dodomaPaul makonda
Wema sepetu
J. Defoe
Lady Jay dee
Salama Jabir
Jebby
JB
Kanumba
Sharo millionea