Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

Watu maarufu ambao hawakuwahi kupata Watoto Maishani mwao

1.Bashite Mungu wa Dar
2.Lipumba
3.Lemutuz Lupumbazi
4.Jackline mnuka papuchi
5.Wema Sepenga chawote
6.Naseeb Abdul (Tifa na Nillan ni wa marehemu)
7.Jaji Mutungi
8.Mama Tulia Ackson
9.Jokate Mwegelo Lumumba
10.Johari wa Ray


Sent From Kisana Kiki Iphone
Musiwe munaandika bila kuwa na uhakika.. Tulia anao watoto.
 
Ndg. Heshima ni kitu cha bure. Yesu si mtu, ni Mungu Mwana. Full stop.
Duh!

Aisee hii dunia ni ya ajabu!

Kwahyo yesu si mtu aisee?
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
Mungu wa Darisalama nae yumo
Mkuu,ukitaka kuandika mungu ukikusudia ni miungu mingine tofauti na Mungu wetu mwenye Mamlaka aliye Mbinguni ni vizuri ukaanza na herufi ndogo.Mfano; unaweza kuandika Daudi Bashite mungu wa Dar.Ahsante
 
Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Yule alikuwa mtoto wa kimasai toka Monduli alisha rudi na aliwahi kuwa mganga mkuu wa hospital ya Mkoa wa Arusha Mt Meru
Dr Toure
 
Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Alikuja kurudi ni daktari mustaafu na alitumia jina surname la Toure. Aligombea hadi ubunge lakini hakufanikwa miaka haizidi kumi iliyopita. Sekou Toure alikuwa ni true pan africanist ila katili kupita kiasi. Alimuua foreign affairs minister wake katibu mkuu wa kwanza OAU Mr Dialo Teli kwa kumfungia selo kisha akatupa ufunguo baharini akafa wa njaa. Kisa ati aipanga jama za kumpindua .Eti inaitwa black death. Afrika haijawa na uhaba wa madictator tangu Uhuru Aikufa kwenye ndege ya mfalme wa saudia akipelekwa kwenye matibabu Marekani. Licha ya kuhudumiwa na madaktaribingwa ndani ya ndege lakini walikuwa wakishona mshipa huu wa damukwenye moyo unapasuka mwingine. Akalipa ukatili wa udictator kwa kifo hicho.
 
Angella Markel
Theresa May
Shinzo Abe
Macron
Prime Minister of Italy
Former president of South Korea. Yule mama aliepinduliwa. Yeye hakua na mume na hakuwahi kuzaa. Ulikua ukimuuliza mume wako anasema mimi nimeolewa na South Korea.
Du huyo mkali kaolewa na nchi
 
Ni uongo jamaa hakua na mtoto na wenzie kama vile speer,gorman na himmler walipomuuliza kuhusu ndoa na mtt alijibu hvi "i must never marry,am only married to the german state" "there is no need for me to bring a child in this world"hapo walikua BERGHOF nyumbani kwa hitrel source;youtube documentaries

Sent using Jamii Forums mobile app
Alioa pia huo msemo wako naushangaa
 
Back
Top Bottom