pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Ana mme lakini hana watotoAnao watoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana mme lakini hana watotoAnao watoto
Hivi wewe jamaa hua unafikiria nini?Yesu kristo Mfalme wa Nazareth
Sent From My Nokia Ya Tochi
1. Susan B. Mkapa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Hazina na wiki mbili zilizopita amekuwa Jaji wa Mahakama Kuu. 2. Nicholaus B. Mkapa yupo kwa Mwanasheria Mkuu wa serikali.President Benjamin William Mkapa
Yupo nadhani ni daktari mstaafu.Rais Sekoture wa Guinea alitembelea Tanzania enzi za utawala wa Nyerere na aliondoka na mtoto wa kiume kutoka Msimbazi Centre. Rais Sekoture na mkewe hawakujaliwa mtoto. Sifahamu habari za yule mtoto baada ya hapo.
Hivi ni kweli?Pepe kale
Tujikumbushe watu maarufu kama wanasiasa, wanamuziki, wacheza filamu nk ambao hawakuwahi kupata watoto wa kuwazaa katika maisha yao hapa Duniani.
Wanaweza wakawa ni kutoka hapa Bongo au nje ya Bongo. Naanza na hawa:
1. Kamuzu Banda - Rais wa kwanza Malawi
2. Omar Al Bashir - Rais wa Sudan
3. Steven Kanumba
Unaweza ukaendelea na wewe...
Yupi huyo?Hapo kwenye maraisi umemuacha mmoja na unamjua usijisahaulishe!
Hawajafa. Kuna uwezekano wakapataJay dee wema
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye maraisi umemuacha mmoja na unamjua usijisahaulishe!
Mkapa ana watoto wawili biological, Nico na Steven. Pia ana stepson mmoja kwa Mama Anna na Basil Mramba, Peter.Lipumba, Mkapa
Walikula tunda la mti wa kati?Utajuaje kama Yesu hakuwa na mtoto ? Uhusiano wake na Mary Magdalena vipi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangazwa na watu kutolifahamu hili.