Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,380
- 68,484
Orodha ya watu maarufu ambao ni kama hawana wenza. Yaani ni kama wanaaishi wenyewe tu hakuna mume/mke.
Naanza na Madam Rita.
Endelea…
Naanza na Madam Rita.
Endelea…
Kizazi ambacho mimba nyingi zimepatikana guest na vichakaniGen z mnazingua sana
Aanze mumeo kwanzaUnaonaje wewe ukaolewa badala Yao?
Panya mamakoWe panya nini, badala ya kuweka list unategemea sisi ndiyo tukuwekee.
Nitajua namna gani wewe ni chakulaUkishawafahamu itakusaidia nini?
Kwanini umekuja kukoment sasa mamdogoHii itakusaidia nini mkuu?
Kwanini umekuja kwenye uzi wangu sasa? KakazweWe unachukulia watu hawana kazi
🤣Mbona hamuwataji? Wakuu naona spana tu ndo zinapigwa 😅😅😅