Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

Muhammad S.A.W miaka 38 kifo chake utata

Utata kivipi ni uroho, Kuna Nyama ilikuwa na sumu ilitegwa maana ilipikwa vizuri na mke wake aliyekuwa ni Myahudi... nasikia baada ya kuzikwa Nguruwe na Mbwa walifukua na wakaila mikono hadi leo hii ni haramu. Na Wayahudi ni adui hadi leo
 
Mapadr,maaskofu kila siku wanasilimu nyinyi mtabakia na chuki zenu propaganda bila kuuzungumzia uiaslamu mada inakuwa haijaisha
 
Princess Diana alitaka kuitangazia dunia kuwa ana ujauzito wa Dodi + kufunga ndoa.. That's y ufalme ukammaliza!... Ingekuwa ni bonge moja la aibu kwa uingereza na Buckingam Palace kwa mkwe wa malkia kuolewa na Mwarabu tena Dodi ( playboy)... Baba yake mzazi mzee Fayed hadi kanyimwa uraia wa uingereza japo kainvest miduka mikubwa (harold's) na mahoteli ya kifahari na bado kakulia na anazeekea hapo lakini hawajali!.. So kwa trend ya Di na wanaume zake baada ya talaka angeuliwa tu hata kama asingekuwa na Dodi!
 
Mapadr,maaskofu kila siku wanasilimu nyinyi mtabakia na chuki zenu propaganda bila kuuzungumzia uiaslamu mada inakuwa haijaisha

Taasisi hiyo sio Dini.... dini ni imani isiyolazimisha mtu... by the way Dini ni Story tu za watu walioishi kitambo na hazina evidence yoyote... Wenzio wananifahamu mimi ni kiboko yenu.... na huwa nawashinda kwa hoja Daima... sababu hamfahamu asili ya dini yenu ilivyoanzishwa na inataka mfanye nini na yakitajwa almost yote ni maovu... so huwa nawawekea wazi mnaanzisha matusi... ila ukweli unabaki pale pale.. nakupa zoezi moja kawaulize waalimu wako wa dini kile kinyago cha Mwezi na Nyota kwenye kila Msikiti kinawakilisha nini? ukikosa jibu njoo nikueleze fact.. Nimeshindanishwa na Mashehe wenu waliobobea wakaishia kutukana matusi.... mimi ni kiboko yenu daima... Namtafuta Dr. Naik yule Muhindi nikimtizama kwenye TV anatoa hoja chovu... siku akija namtoa nishai
 
Regia Mtema, mwanaharakati binti Mdogo na mwanajamiiforum; Leonard John, my best friend who met his death few hours after sharing a glass of Scottish whisky with me RIP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…