Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

HARUFU.jpegHARUFU A.jpegHARUFU B.jpeg
 
Nadhani hata shujaa wangu Edward Moringe Sokoine alikufa kabla ya kufikisha miaka 50 maana alizaliwa tarehe 01.08.1938 na alikufa 1984
 
9.Princess Diana, miaka 36.
Alikuwa ni mke wa mtoto wa
Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa
ajali ya gari, wengi wanashuku
ajali hiyo ilipangwa.9.Princess Diana, miaka 36.
Alikuwa ni mke wa mtoto wa
Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa
ajali ya gari, wengi wanashuku
ajali hiyo ilipangwa........
........ Huyu princess Diana alikufa kwa ajali ya gari wakat akiwakimbia mapaparazi nchini ufaransa aligonga nguzo ya umeme. Hyo ni baada ya kuachana na mtoto wa malkia na kujiillngiza kwenye mahusiano na jamaa flan hvi japo sikumjua vizr aliyekuwa anamchukua kwa kipind hicho

Aliitwa Dodi alfa-Yeddy mtoto wa billionear mmoja Mohamed alfa-yeddy
 
Nakumbuka ngoma yake ya" put it on" miaka hiyo
Mie kuna kibao chake yupo na Kool G Rap, kingine yupo na Remy Martin(yule mlimbwende) wa kundi la Terror Squad chini ya baba yao Fat Joe na nyingine Holding it down, Flamboyant, The big picture iliobeba Album na kuna ngoma yake moja kwa upande wangu naikubali sana yuko na Tupac ya kutiwa Deadly combination, na kuna nyingine Work part 2 nayo naikubali sana yupo na Guru
 
Back
Top Bottom