Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

HARUFU.jpeg

HARUFU A.jpeg
 
Yaani mpaka page ya 3 ya michango ya huu uzi hakuna aliyemkumbuka Edward Moringe Sokoine! Aliyekuwa Waziri mkuu wa Tanzania, alifariki kwa ajali ya gari akitokea Dodoma tarehe 12 April 1984. Alikuwa na miaka 46 wakati anafariki.

Niwe mkweli mimi niliwaza jina holo lakini nikahisi alishavuka50+ wakati anakufa!
 
Back
Top Bottom