Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

Dodi, baba yake ni miliionea alikuwa anamiliki Harrods aliuza share zake. Ana asili ya Misri.
 
Hamisi Mangarea, Jioni Marumbo, Hellena Marumbo, Ghati Ryuba, Bukinga Ndege, Pili Ndege, Haruna Onyango

May Almighty God rest their soul in peace
 
Jamaa aliyekuwa anatoka naye ni mtoto wa bilionea wa Uingereza mwenye asili ya Misri. Aliitwa Dodi El Fayed na familia yao inamiliki timu ya EPL na chain of supermarkets. Princess Diana alikuwa anafanya kazi za kusaidia masikini hasa watoto waliokatika miguu kwa mabomu ya kutegwa ardhini huko Angola. Alikuwa model na alikuwa kwenye uhusiano mbaya na mumewe Prince Charles.
 
Bonge la song aisee
 
Bonge la song aisee
We bwana weee, we bwana weee.

Hiki kibao kwa kweli kila ninapokisikiliza huwa kinaniingia sana, hebu tukisikilize, maana umenifanya nijisikie kukisikiliza.

 
We bwana weee, we bwana weee.

Hiki kibao kwa kweli kila ninapokisikiliza huwa kinaniingia sana, hebu tukisikilize, maana umenifanya nijisikie kukisikiliza.

Jamaa anaonyesha ufundi haswaa katika kuimba, na sauti yake ni murua kabisa.....
 
Jamaa anaonyesha ufundi haswaa katika kuimba, na sauti yake ni murua kabisa.....
Idara zote ametulia.

Ukisikia kipaji, hiki ndio kipaji.

Kwa kweli kipaji alikuwa nacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…