Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

Nini limewasibu mkuu kill? Fafanua kidogo
hao wanakwaya wanaitwa Ambassador waliimba kwetu pazuri baadaye ya kama wiki kadhaa wakapata ajali wakafa wawili yupo yule mwanamuziki aliimba kifo huna huruma yuko wapi leo acha utani na kifo mkuu
 
Duniani tunapita na muda wao uliisha,Mengineyo ni visingizio tu
 
Mkuu Mohammed ni jina la baba yake.. Yeye alijulikana kwa majina ya Emad El-Din Mohammed Abdel Moneim Fayed au kwa jina maarufu Dodi Fayed.. Baba yake ni tajiri maarufu aliekuwa anamiliki klabu ya Fulham mpaka mwaka jana alipoiuza..

Mpaka leo anaamini kuuawa kwa mwanae ni conspiracy kati ya royal family na M16..

ni kweli mkuu royal family kwa kiasi kikubwa inahusika ktk kifo cha diana
 
Back
Top Bottom