Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

amy-rip.jpg


maxresdefault.jpg


amy_winehouse.jpg
 
9.Princess Diana, miaka 36.

........ Huyu princess Diana alikufa kwa ajali ya gari wakat akiwakimbia mapaparazi nchini ufaransa aligonga nguzo ya umeme. Hyo ni baada ya kuachana na mtoto wa malkia na kujiingiza kwenye mahusiano na jamaa flan hvi japo sikumjua vizr aliyekuwa anamchukua kwa kipind hicho

Gari yake iligonga nguzo ya daraja

Jamaa mwenyewe akiitwa Dodi Alfayed mtoto wa Mohammed Alfayed, mfanya biashara mwenye asili ya Egypt na wakati fulani alikuwa mmiliki wa maduka ya Harrods
 
hivi aliyeimbiwa wimbo wa see you again na wiz khakifa ni yupi kati ya wale waigizaji wa movie ya fast and farious? anayejua msaada please
 
Back
Top Bottom