Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jim Leeves: mwimbaji wa muzik wa country alifariki kwa ajali ya ndege alifariki na miaka 45
9.Princess Diana, miaka 36.
........ Huyu princess Diana alikufa kwa ajali ya gari wakat akiwakimbia mapaparazi nchini ufaransa aligonga nguzo ya umeme. Hyo ni baada ya kuachana na mtoto wa malkia na kujiingiza kwenye mahusiano na jamaa flan hvi japo sikumjua vizr aliyekuwa anamchukua kwa kipind hicho
alikuwa na miaka mingapi mkuu?Steve Biko mwana harakati mapambano ya Uhuru Afrika kusini pia founder wa The Black Consciousness Movement .