king004
Senior Member
- Dec 12, 2019
- 104
- 110
Bruce lee alivunja kiapo huko china na mwl wake Yip man (ip man alizoigiza donnie yen) ikabidi awafundishe mamluki kwa miaka kadhaa pigo moja kwa ajil ya kumwangamiza bruce.. Kwan alichukuliwa na marekan na walijua anatoa siri za kung fu.. Mapigo adimu san.. Pigo hilo alipigwa bruce lee na mmoja ya mamluk wakat ametoka kuigiza moja ya movie zake.. Jamaa alimwomba wapigane friendly na Bruce akakubal jamaa akamtandika pigo la kawaida kichwani bruce akapuuzi kumbe pigo ilo lilikuwa la kuvimbisha utosi taratibu.. Hadi akafariki na wakaua na kizazi chake kabisa.. Wakamuua mwanae tena Brandon Lee (aliyeigiza movie za the crow).. Hadi hiv leo hakuna kizazi chake na wanamuenz tu ktk movie kama a legend is born.. Na hzi za ip man wanazungumzia maisha ya master wake. Yip man
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app