Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

Bruce lee alivunja kiapo huko china na mwl wake Yip man (ip man alizoigiza donnie yen) ikabidi awafundishe mamluki kwa miaka kadhaa pigo moja kwa ajil ya kumwangamiza bruce.. Kwan alichukuliwa na marekan na walijua anatoa siri za kung fu.. Mapigo adimu san.. Pigo hilo alipigwa bruce lee na mmoja ya mamluk wakat ametoka kuigiza moja ya movie zake.. Jamaa alimwomba wapigane friendly na Bruce akakubal jamaa akamtandika pigo la kawaida kichwani bruce akapuuzi kumbe pigo ilo lilikuwa la kuvimbisha utosi taratibu.. Hadi akafariki na wakaua na kizazi chake kabisa.. Wakamuua mwanae tena Brandon Lee (aliyeigiza movie za the crow).. Hadi hiv leo hakuna kizazi chake na wanamuenz tu ktk movie kama a legend is born.. Na hzi za ip man wanazungumzia maisha ya master wake. Yip man

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa aliyeomba sparring na Bruce hakumpiga kichwani alimpiga kwenye chemba ya moyo, tena alimuotea tu kwasababu Bruce Lee alimtandika Mara mbili huyo jamaa na hakufua dafu hata kidogo na huyo jamaa aliyempiga Bruce hakumpiga wakati wanacheza movie alimpiga Bruce wakati kashamaliza kushoot movie, Bruce ana watoto wawili, Brandon Lee na Shannon Lee ,aliyekufa ni Brandon Lee peke yake Shannon Lee bado yupo mpaka Leo,
 
Asante sn kwa kunijuza maana niliisoma ktk miaka ya nyuma kwenye moja ya gazeti hapa nchini kisa hiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sn kwa kunijuza maana niliisoma ktk miaka ya nyuma kwenye moja ya gazeti hapa nchini kisa hiki

Sent using Jamii Forums mobile app
OK pamoja sana, na Bruce baada ya kupigwa na huyo jamaa baadae alivyorudi kwenye chumba cha hoteli alichokuwa anakaa wakati anashoot movie alianza kusikia maumivu kifuani baadae kichwa kikawa kinamuuma ikabidi mke wake ampe dawa ya kutuliza maumivu ameze na apumzike ndio akapumzika mazima,
 
1.Aaliyah, miaka 22. Alikuwa ni mwimbaji wa muziki, alifariki kwa ajali ya ndege.

2.Malcom X, miaka 39. Alikuwa ni mwanaharakati wa haki za biinadamu. Aliuwawa.

3.Martin Luther King, miaka 39. Alikuwa pia mwanaharakati. Aliuwawa na watu wasiojulikana

4.Whitney Houston, miaka 49. Mwanamuziki. Alifariki kwa madawa.

5.2pac, miaka 25. ALikuwa mwanamuziki, Aliuwawa kwa kupigwa risasi.

6.Bob Marley, miaka 36. Mwanamuziki maarufu wa Reggae. Alifariki kwa Kansa.

7.Bruce Lee, miaka 32. Actor wa filamu za mapigano, sababu za kifo zake bdo ni utata mpaka leo.

8.John F. Kennedy, miaka 46. Rais wa Marekani. Aliuwawa kwa risasi.

9.Princess Diana, miaka 36. Alikuwa ni mke wa mtoto wa Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa ajali ya gari, wengi wanashuku ajali hiyo ilipangwa.

10.Ernest Che Guevara, miaka 39. Mwanamapinduzi wa Argentina. Aliuwawa na CIA.
Mtazamo wako wa kimagharibi sana. Orodha yako haina mtu yeyote maarufu kutoka race ya weusi?!???!!
 
KOBE BRYANT (23/08/1978-26/01/2020).

1580080521377.png
 
Kuna yule mcheza mieleka... alifia ulingoni kwa kudondoka na kamba.....,kuna yule mchezaji alifia uwanjani.vivian foe. Kuna yule mtoto wa mcheza sinema alifia wakati wa kupiga scene...Brandon Lee ..kuna yule mcheza muv wa fast and furious
Kuna Kobe
Kuna radio n wessle
Kuna Fanuel sedekia
Kuna akwilina
 
Back
Top Bottom