Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

ni kweli mkuu royal family kwa kiasi kikubwa inahusika ktk kifo cha diana
ni kweli mkuu royal family kwa kiasi kikubwa inahusika ktk kifo cha diana
Ilisemekana Lady Diana alikuwa na ujauzito wa yule rafiki yake Mwarabu.Sasa vile kwa royal family kuwa na damu ya lineage ya kiarabu kwao ni kashfa hivyo wakaona wamzimishe Diana
 
Alikuwa ni people's princes hata umauti ulipomfika nilikuwa huko na jeneza lake nililishuhudia nilishtuka sana kwani alikuwa hana majivuno alikuwa anakuja na watoto wake bado wakiwa wadogo Mac Donald ya Kensington karibu na kwao, tatizo ni Prince nae akaamua kutembea na watu kadhaa kama major Hewitt aliekuwa anamfundisha kupanda farasi na Dr mmoja mpakistan na tajiri moja la mafuta mmarekani baada ya hapo ndipo akawa na Dodi mtoto wa bosi wa Fulham na aliekuwa mmiliki wa duka kubwa duniani (Harrod's) ambapo sasa limeuzwa. Kabla alisema atatangaza karibuni kitu ambacho dunia itashangaa,ndipo wakammaliza na Dodi pia
hicho kitu ni ujauzito kukomoa royal family
 
Ndugu mleta uzi mbona umemsahau Yesu Kristu aliyekufa akiwa na miaka 32 tu au yeye sio mtu maarufu kwa hii dunia?
 
9.Princess Diana, miaka 36.
Alikuwa ni mke wa mtoto wa
Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa
ajali ya gari, wengi wanashuku
ajali hiyo ilipangwa.9.Princess Diana, miaka 36.
Alikuwa ni mke wa mtoto wa
Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa
ajali ya gari, wengi wanashuku
ajali hiyo ilipangwa........
........ Huyu princess Diana alikufa kwa ajali ya gari wakat akiwakimbia mapaparazi nchini ufaransa aligonga nguzo ya umeme. Hyo ni baada ya kuachana na mtoto wa malkia na kujiingiza kwenye mahusiano na jamaa flan hvi japo sikumjua vizr aliyekuwa anamchukua kwa kipind hicho
aliuawa na usalama wa taifa wa uingereza M16 , ingekuwa aibu sana castle of kifalme kupata mjukuu nje ya ndoa tena kutoka uarabuni, video na documentaries zipo nyingi
 
Mkuu Mohammed ni jina la baba yake.. Yeye alijulikana kwa majina ya Emad El-Din Mohammed Abdel Moneim Fayed au kwa jina maarufu Dodi Fayed.. Baba yake ni tajiri maarufu aliekuwa anamiliki klabu ya Fulham mpaka mwaka jana alipoiuza..

Mpaka leo anaamini kuuawa kwa mwanae ni conspiracy kati ya royal family na M16..
upo sahihi sana hata mimi nimefuatilia sana youtube conspirancy ni hivyo hivyo
 
Back
Top Bottom