Watu maarufu na majina halisi waliyopewa wakati wa kuzaliwa

Watu maarufu na majina halisi waliyopewa wakati wa kuzaliwa

1. Didie Drogba Mwanasoka maarufu sana akiwa na klabu ya Chelsea na timu ya Taifa la Cote D'voire/Ivery Coast.

2. Samuel Eto'o Mwanasoka maarufu sana akiwa na klabu ya Barcelona na timu ya Taifa la Cameroon.
Mkuu umeniacha hapa...
Ulikuwa unataka kumaanisha nini?
 
Hamiss Mandi=B12,Kenedy Frank Urio=Kenedy the Remedy,Marium Mdoe=Mamy Baby,Omary Said=DJ D-Ommy,Pancrass Mayala=Askofu Tza,
Kwahiyo kumbe ukimwacha Mami hao jamaa wengine wa xxl ni kutoka kaskazini??..
 
Francesc Fàbregas,Soler = Cesc Fàbregas.
Orville Richard Burrell CD = Shaggy.
Sean Paul Francis Henriques = Sean Paul.
Leati Joseph "Joe" Anoa'i = Roman Reigns.
Tupac Amaru Sahkur =2pac
Francisco Roman Alarcón Suarez =>Isco.
Kathryn Bernardo = Mara Del Valle"Mara"
 
Kuna maandiko yanadai jamaa birth names zake ni NESTA ROBERT MARLEY, wakati wa kuandikisha PASSPORT, afisa uhamiaji wa Jamaica waliona jina NESTA ni jina la kike na hivo wakaamua kubadili mpangilio wa Majina ili ROBERT liwe la kwanza kwa vile mtajwa ni Mwanaume!

Ukweli unabaki pale pale kuwa hiyo bingwa hayo ndio majina yake!
Robert Nesta Marley - Bob Marley
 
Majina halisi ya kuzaliwa ya TUPAC ni: LESANE PARISH CROOKS! Mama AFEN SHAKUR alipojiunga na harakati za BLACK PANTHER, huko alikuja kumsoma Mwanamapimduzi wa PERU aitwaye TUPAC AMARU, akapaste majina kwa mwanae!

Baadae tena Mama TUPAC alikutana na MUTULU SHAKUR - Memba wa BLACK PANTHER ambae walizaa bint - mdogo kwa PAC, aitwaye SEKIYA na hapa Mama AFEN akambatiza Tupac jina la 3 la SHAKUR!

Tupac anamtaja SEKIYA km dadake ktk ngoma ya DEAR MAMA!
 
SUPER NYWMWELA = Hassan Musa Mohammed

FID Q = Farid Kubanda
 
Back
Top Bottom