Watu maarufu Tanzania waliotutoka mwaka huu 2021

Watu maarufu Tanzania waliotutoka mwaka huu 2021

Wadau Mwaka 2021 umekua na majonzi na mambo mengi, tumbushane watu maarufu waliotutoka mwaka 2021

1. JPM
2. Bakari Mwakapacgu
3. Prof Mathew Luhanga
4. Zakaria Hanspope
5. Asas
6. Haruni Zakaria
7. Summry
8. ....
... mara hii umemsahau nguli wa siasa Maalimu Seif (RIP)? Kweli ukiondoka huna tena ijara duniani!
 
Yaani suala la kifo ni hatari

Siku ukifa vitu ambavyo vitakuwa vinazinduliwa

●iphone 23
●window 15
●Tecno kali never seen
●laptop kali high base score
●SamsunG high path security

Watu watakimbilia kununua lakini wewe ushakufa na habari yako imeisha

RIP. JOSEPH POMBE
 
Wadau Mwaka 2021 umekua na majonzi na mambo mengi, tumbushane watu maarufu waliotutoka mwaka 2021

1. JPM
2. Bakari Mwakapachu
3. Prof Mathew Luhanga
4. Zakaria Hanspope
5. Asas
6. Haruni Zakaria
7. Summry
8. ....
Hakuna mtu maarufu, wote tuko sawa maana mwisho wetu unafanana
 
Back
Top Bottom