Watu maarufu Tanzania waliotutoka mwaka huu 2021

Watu maarufu Tanzania waliotutoka mwaka huu 2021

Wadau Mwaka 2021 umekua na majonzi na mambo mengi, tumbushane watu maarufu waliotutoka mwaka 2021

1. JPM
2. Bakari Mwakapachu
3. Prof Mathew Luhanga
4. Zakaria Hanspope
5. Asas
6. Haruni Zakaria
7. Summry
8. ....
Professor Joseph Anthony Kilewo.
 
Nimekutana na Jpm analalamika kwa nini yeye amekufa mapema wenzake wamepewa miaka 95 yeye 61 tu
 
Back
Top Bottom