Watu maarufu Tanzania waliotutoka mwaka huu 2021

Watu maarufu Tanzania waliotutoka mwaka huu 2021

Wadau Mwaka 2021 umekua na majonzi na mambo mengi, tumbushane watu maarufu waliotutoka mwaka 2021

1. JPM
2. Bakari Mwakapachu
3. Prof Mathew Luhanga
4. Zakaria Hanspope
5. Asas
6. Haruni Zakaria
7. Summry
8. ....
Unamwachache SEIF SHARRIF HAMAD? Au kwa vile mpinzani?
 
Hakuna mtu maarufu, wote tuko sawa maana mwisho wetu unafanana
Unaelewa maana ya mtu maarufu?

maarufu

ni kujulikana hasa katika sanaa au kisiasa; umaarufu pia kuwa unajulikana kitaifa na hata kimataifa.

Na cku zote ujue duniani hakuna usawa hata siku moja. Mambo ya usawa ni propaganda tu bt kiuhalisia hakuna hiyo kitu. Never na sahau
 
Ila wote ni wa udongo, just fikiria Magufuli alivyotikisa na sasa yukoje
 
Usimveshe kilemba cha ukoka Baba yake ni mtu mihimu sana kwake lakini sio maarufu.
Jitahidini kutumia lugha ya Kiswahili kwa ufasaha
Mihimu ndio kiswahili gani? Mi baba yangu ndio the most famous dude to me…. Hao wengine siwafahamu huwa nawasikia tu… tofautisha wingi na umoja.
 
Back
Top Bottom