Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana mkuu.Iliondoka na baba yangu mpendwa pia 2021, kila siku namkumbuka, Rest in Peace Baba yangu.[emoji24]
Mungu akupe nguvu ndugu.Thank you.May their souls Rest In Peace
Slowslow Mr KYWadau Mwaka 2021 umekua na majonzi na mambo mengi, tumbushane watu maarufu waliotutoka mwaka 2021
1. JPM
2. Bakari Mwakapachu
3. Prof Mathew Luhanga
4. Zakaria Hanspope
5. Asas
6. Haruni Zakaria
7. Summry
8. ....
Na furaha piaMwaka 2021 ulijaa majonzi na masikitiko makubwa.
Pole mkuu teamasala, Mungu awajalie wepesi familia yenu.Iliondoka na baba yangu mpendwa pia 2021, kila siku namkumbuka, Rest in Peace Baba yangu.[emoji24]
Hivi JPM kumbe amefariki mwaka huu. Nilishamsahau kitambo.Wadau Mwaka 2021 umekua na majonzi na mambo mengi, tumbushane watu maarufu waliotutoka mwaka 2021
1. JPM
2. Bakari Mwakapachu
3. Prof Mathew Luhanga
4. Zakaria Hanspope
5. Asas
6. Haruni Zakaria
7. Summry
8. ....
Pole sana mkuu1. My beloved Mother
2. Beloved Twin
Pole sana mkuuMy dad
Mkuu pole sanaNili poteza wazazi wangu wawili 2021, kwa kupishana miezi minne tu, kifo cha mama asikuambie mtu loh paka leo na muona.
Utamusahau vip warumi wetu?
Maalim Seif
Prof Baregu
Jaji Ramadhan
ivi warumi ilikuwaje sijaelewaga