Watu maarufu Tanzania waliotutoka mwaka huu 2021

Watu maarufu Tanzania waliotutoka mwaka huu 2021

Wadau Mwaka 2021 umekua na majonzi na mambo mengi, tumbushane watu maarufu waliotutoka mwaka 2021

1. JPM
2. Bakari Mwakapachu
3. Prof Mathew Luhanga
4. Zakaria Hanspope
5. Asas
6. Haruni Zakaria
7. Summry
8. ....
Kosa moja kubwa lakini ni ukweli ni pale ulilojihusisha na Jiwe aka kichaa/muuaji
 
Wadau Mwaka 2021 umekua na majonzi na mambo mengi, tumbushane watu maarufu waliotutoka mwaka 2021

1. JPM
2. Bakari Mwakapachu
3. Prof Mathew Luhanga
4. Zakaria Hanspope
5. Asas
6. Haruni Zakaria
7. Summry
8. ....
Nili poteza wazazi wangu wawili 2021, kwa kupishana miezi minne tu, kifo cha mama asikuambie mtu loh paka leo na muona.
 
Habari Kama hizi huwa zinasababisha kifua Kubana na pumzi kupungua nahisi kama nakufa mda huo huo
 
Back
Top Bottom