kiumbempole
JF-Expert Member
- Jan 15, 2016
- 593
- 983
Jamaa inaonesha unapenda electronics gadgets sanaYaani suala la kifo ni hatari
Siku ukifa vitu ambavyo vitakuwa vinazinduliwa
●iphone 23
●window 15
●Tecno kali never seen
●laptop kali high base score
●SamsunG high path security
Watu watakimbilia kununua lakini wewe ushakufa na habari yako imeisha
RIP. JOSEPH POMBE