Watu maarufu Tanzania waliozaliwa nje ya Afrika

Watu maarufu Tanzania waliozaliwa nje ya Afrika

Wakuuu , MTOA mada Yuko sahihi.

Yaan hapa anachotaka watu msiwe serious sana.

Tuwataje tu, maana hata tukiwataja, haituongezei Tonge la ugali Wala kutupunguzia.



Binafsi, Nmezaliwa Tanzania, Kanda Ziwa, Kijijini Ndani Ndani huko.

Kwa bahati mbaya Sina hulka ya kufatilia watu, hivo Sijui nani kazaliwa wapi labda wenzangu tulotokea Kijijini.
Dr.Yahaya Nawanda...uhamishoni
 
Mwenyekiti wa timu ya kataa ndoa dronedrake aliyezaliwa kimanzichana.

1718158659552.jpg
 
Back
Top Bottom