Watu maarufu Tanzania waliozaliwa nje ya Afrika

Ili suala la kutoka na mimba kwa mtogole na kwenda kuzalia Marekani then automatically mtoto anakuwa Mmarekani ukweli wake nautilia shaka sana.
 
Haji kazaliwa Ulaya kaka
Msikilize Baba yake mwenyewe akiongea Youtube. Haji alienda nae kwa muda mfupi sasa hizo kuzaliwa Ulaya ni hadithi zake tu.
Mwaka aliozaliwa 1975 baba yake anacheza Yanga na 76 akatimuliwa akaenda kucheza Morogoro wakarudi Nyota bado wako hapa Dar
 
mkuu, mimi ndo baba ake mwenyewe
 
Back
Top Bottom