Watu maarufu waliofanikiwa kwa kuwatekeleza baba zao

Watu maarufu waliofanikiwa kwa kuwatekeleza baba zao

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
1. Ommy dimpoz

Jamaa amefanikiwa sana baada ya kumterekeza baba yake akiwa anatanua DSM na fedha za kuhongwa na GSM baba yake anaendesha bajaj huko sumbawanga

2.Diamond platnumz
Huyu amefanikiwa sana na nyota imeng'aa kwa kumzalilisha baba yake na kumuweka mbali kabisa yeye akiwa anakula bata mzee wake anaishi ndani ya chumba kimoja tandale

3.Mwana FA
Huyu mbunge mwanamuziki na Naibu Waziri ambaye amerithi kipaji cha muziki cha baba yake akiwa anatanua na kioo cha jamii baba yake anahali mbaya akiwa yupo Mheza anaimba kwenye bar mbalimbali

Mpaka watu wanasema inawezekana vijana wanatumia nyota za wazee wao kishirikina
 
Acha kumsingizia Sadala yule ni mtoto wa Nyange
 
Uzi tayari...watu shusheni comment kichwa cha habari tayari..
 
Diamond babaake ameshafariki yule mi babaake Queen Darleen
 
Back
Top Bottom