Watu maarufu (Wanasayansi, Wasanii, Wafanyabiashara, Wanamichezo) wazee wa kataa ndoa duniani

CR7 kaoa mwezi huu, japo naunga mkono hoja
 

Duru za Kijasusi zinasema Tesla alikuwa Upinde
 
Huyo Ronaldo si anaishi na mwanamke??
Au ndoa ina tafsiri gani kwa team kataa ndoa??
 
Logic ipo hivi, wanaume wengi wenye malengo makubwa ya kuacha alama duniani hawana muda na ke, ongeza kwenye list ongezea na Emmanuel Joseph (Yesu) hakua na shobo na wanawale kabisa, alikaa kwenye lengo lange la kuifanya dunia iujue u kristo.

Ila kwenye list umechanganya watu. Huwezi mchanganya CR7 na Isaac Newton. CR7 anaishi na mwanamk bila ndoa za makarasi ila Newton inasemekana alikufa bikra. Nina recommend kuishibkama legend wetu CR7
 
[emoji1787][emoji1787] Emmanuel Joseph
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…