Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Fuga ng'ombe wa maziwaKama nina uwezo wa kupata maziwa na nyama,nifuge ng'ombe wa nini????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fuga ng'ombe wa maziwaKama nina uwezo wa kupata maziwa na nyama,nifuge ng'ombe wa nini????
Siku hizi umejifunza Kiswahili we Mmarekani Mweusi?Kanyagia umo umo ankoli
#kataa ndoa
Unao ushahidi ?
"""Hausimiki wala Hausimami.....??hujawahi sikia hiki kitendawili??Sijakuelewa unacho maanisha nyoosha maelezo
CR7 kaoa mwezi huu, japo naunga mkono hojaTwende nami taratibu.
Baada ya kuwatazama Marais wa wakataa ndoa duniani sasa ni zamu ya watu maarufu walio nje ya ulingo wa siasa😎
1. Oprah Winfrey
Ukurasa unafunguliwa na huyu ajuza vijana wa kisasa wanasema shangazi.
Huyu legend wa kike ni mwanaharakati haswa wa wazee wa kataa ndoa.
Huyu legend hajawahi onesha interest yoyote ya kuzama ndoani pamoja na umri wake kukimbia haswa miaka 70 sasa.
2. Isaac Newton
Haya namba mbili tumzungumzie legend wa fizikia duniani.
Sio tu u legend wa fizikia pia huyu mwamba alikuwa mwanachama.mtiifu wa kataa ndoa katika kipindi cha uhai wake hakuna rekodi yoyote ya yeye kuwa na mahusiano yoyote ya kimapenzi na mwanamke.
Kwa mujibu wa historia mwamba namna alivyo zaliwa ndivyo alivyo kuwa kufa alitumia zaidi ubongo kuliko kiungo kingine katika mwili.
Kweli huyu alikuwa legend haswa wa wazee wa kataa ndoa.
3. Leonardo Da Vinci
Huyu alikuwa msanii maarufu wa kiitaliano nafikiri hata sehemu kubwa duniani anafahamika kwa picha yake ya monalisa
Huyu mtaalamu alikuwa mwanachama mwaminifu wa wakataa ndoa kote duniani.
Mpaka anakufa hakuwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi.
4. Galileo Galilei
Huyu bwana alikuwa mwanasayansi wa kale.
Huyu mwanasayansi mkonge aliyeleta mapinduzi kwa wazungu huko ulaya hakuwahi kuoa alikuwa ana miliki kadi ya wanachama wa kataa ndoa na alikuwa balozi wa wakataa ndoa toka kale.
5. Nikola Tesla
Huyu alikuwa mwanasayansi au unaweza muita injiania wa kiserbia.
Huyu legend naye alikuwa na tabia kama za Isaac Newton huyu bwana yeye katika kipindi chote cha maisha yake hakuwahi kabisa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke yoyote yule.
Huyu alikuwa legend wa wakataa ndoa duniani kote.
Wengine wa sasa ni kama
6. Leonardo DiCaprio
7. Christian Ronaldo
8. Mayweather
9. Elon musk
10. Bill Gates
list ni ndefu ongeza na yako list pia inaweza badilika kutokana na majina tajwa wakibadili maamuzi.
Wengi wenu mnaupeo mdogo sana kuishi na mwanamke zaidi ya mwaka kiunyumba hata kama hamjaona hiyo ni ndoa tayariKwa nini ?
Una maendeleo gani?Kuoa n kupoteza furaha, kushindwa kuwa na muda wa kufikiri vzr zaidi ktk maendeleo ya dunia n.k
Mimi sijaoa na sina mpango
Mi naomba ieleweke hivi.Ila wengine wana chembechembe za unabii tito kumbe nao wanachama wa hilo kundi
Twende nami taratibu.
Baada ya kuwatazama Marais wa wakataa ndoa duniani sasa ni zamu ya watu maarufu walio nje ya ulingo wa siasa😎
1. Oprah Winfrey
Ukurasa unafunguliwa na huyu ajuza vijana wa kisasa wanasema shangazi.
Huyu legend wa kike ni mwanaharakati haswa wa wazee wa kataa ndoa.
Huyu legend hajawahi onesha interest yoyote ya kuzama ndoani pamoja na umri wake kukimbia haswa miaka 70 sasa.
2. Isaac Newton
Haya namba mbili tumzungumzie legend wa fizikia duniani.
Sio tu u legend wa fizikia pia huyu mwamba alikuwa mwanachama.mtiifu wa kataa ndoa katika kipindi cha uhai wake hakuna rekodi yoyote ya yeye kuwa na mahusiano yoyote ya kimapenzi na mwanamke.
Kwa mujibu wa historia mwamba namna alivyo zaliwa ndivyo alivyo kuwa kufa alitumia zaidi ubongo kuliko kiungo kingine katika mwili.
Kweli huyu alikuwa legend haswa wa wazee wa kataa ndoa.
3. Leonardo Da Vinci
Huyu alikuwa msanii maarufu wa kiitaliano nafikiri hata sehemu kubwa duniani anafahamika kwa picha yake ya monalisa
Huyu mtaalamu alikuwa mwanachama mwaminifu wa wakataa ndoa kote duniani.
Mpaka anakufa hakuwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi.
4. Galileo Galilei
Huyu bwana alikuwa mwanasayansi wa kale.
Huyu mwanasayansi mkonge aliyeleta mapinduzi kwa wazungu huko ulaya hakuwahi kuoa alikuwa ana miliki kadi ya wanachama wa kataa ndoa na alikuwa balozi wa wakataa ndoa toka kale.
5. Nikola Tesla
Huyu alikuwa mwanasayansi au unaweza muita injiania wa kiserbia.
Huyu legend naye alikuwa na tabia kama za Isaac Newton huyu bwana yeye katika kipindi chote cha maisha yake hakuwahi kabisa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke yoyote yule.
Huyu alikuwa legend wa wakataa ndoa duniani kote.
Wengine wa sasa ni kama
6. Leonardo DiCaprio
7. Christian Ronaldo
8. Mayweather
9. Elon musk
10. Bill Gates
list ni ndefu ongeza na yako list pia inaweza badilika kutokana na majina tajwa wakibadili maamu
Duru za Kijasusi zinasema Tesla alikuwa UpindeTwende nami taratibu.

nan kakuambia Watoto ni Ndoa...?!kama isingekuwa hivo wangetoka wapi?.
na wewe mtoa mada isingekuwa baba na mama yako hata ili ungeandika
Sawa. Maisha ni yako maamuzi ni yako.
Huwezi kuwa na ndoa ukafanya jambo kwa umakini.
[emoji1787][emoji1787] Emmanuel JosephLogic ipo hivi, wanaume wengi wenye malengo makubwa ya kuacha alama duniani hawana muda na ke, ongeza kwenye list ongezea na Emmanuel Joseph (Yesu) hakua na shobo na wanawale kabisa, alikaa kwenye lengo lange la kuifanya dunia iujue u kristo.
Ila kwenye list umechanganya watu. Huwezi mchanganya CR7 na Isaac Newton. CR7 anaishi na mwanamk bila ndoa za makarasi ila Newton inasemekana alikufa bikra. Nina recommend kuishibkama legend wetu CR7