Watu masikini 40,000 wavunjiwa Nyumba zao kupisha ujenzi wa barabara ya matajiri

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Note:
1) 45% ya wakazi wa Nairobi hutembea kwa miguu kwa kukosa nauli ya matatu
2)40% hutumia matatu
3)Hutumia usafiri binafsi
4)0.2% Hutumia train

MY TAKE: Kenya raia wa chini hathaminiki kabisa, vipi hapa JF wakenya wanaifurahia hii barabara ya Mchina ambayo haina faida kwa raia walio wenge?

"Where shall I be this time tomorrow"
By Ngugi wa Thiong'o.
Tony254
 
Kati ya "urban Private road" na Nyumba za makazi ya watu, kipi ni maendeleo?
Kuna kitu kinaitwa road reserve bongolala. Ukijenga kwenye road reserve hapa kenya don't expect anything less. Hata maghorofa na shopping malls zimepigwa chini kupisha ujenzi wa barabara
 
Hili jengo ulionalo linaitwa Southfield mall.
Hili jengo ukilipeleka Dar litakua among the top 3 best malls in Dar kiraisi. Hili jengo sio la mtu maskini. Ni watu Wachache Dunia hii, mark my words, sio eneo hili but dunia hii wanaoweza kuafford kujenga jengo kama hili.
Jengo hili lipo kando ya barabara iitwayo Airport South Road. Barabara hii ni part of the larger Eastern bypass Nairobi ambayo tunapoongea sahii, inapanuliwa. Hivi tunapoongea, jengo hili liko earmarked kukula nyundo. Kando na hili jengo, kuna majengo mengi Nairobi ambayo yamekula nyundo ili upanuzi wa barabara ufanyike. It is called the price for development. Ndio maana tunawaambia barabara zinazojengwa Nairobi sahii hazina equal hili eneo. Ubomozi haufanyiki kuumiza maskini bali ni necessary ili maendeleo yafanyike. Kama majengo modern yaliyo approved na City Council na yanayopendeza yanabomolewa Sasa mbona illegal structures zinazoharibu sura ya mji zisibomolewe? Najua mnaumwa mkiona tukibomoa haya makazi duni kisa hayo ndio huwa munakimbilia kila siku mkilemewa mjadala but hivo ndio mambo yako.
images - 2021-12-10T053206.496.jpeg
 
Hili jengo ulionalo linaitwa Southfield mall.
Hili jengo ukilipeleka Dar litakua among the top 3 best malls in Dar kiraisi. Hili jengo sio la mtu maskini. Ni watu Wachache Dunia hii, mark my words, sio eneo hili but dunia hii wanaoweza kuafford kujenga jengo kama hili.
Jengo hili lipo kando ya barabara iitwayo Airport South Road. Barabara hii ni part of the larger Eastern bypass Nairobi ambayo tunapoongea sahii, inapanuliwa. Hivi tunapoongea, jengo hili liko earmarked kukula nyundo. Kando na hili jengo, kuna majengo mengi Nairobi ambayo yamekula nyundo ili upanuzi wa barabara ufanyike. It is called the price for development. Ndio maana tunawaambia barabara zinazojengwa Nairobi sahii hazina equal hili eneo. Ubomozi haufanyiki kuumiza maskini bali ni necessary ili maendeleo yafanyike. Kama majengo modern yaliyo approved na City Council na yanayopendeza yanabomolewa Sasa mbona illegal structures zinazoharibu sura ya mji zisibomolewe? Najua mnaumwa mkiona tukibomoa haya makazi duni kisa hayo ndio huwa munakimbilia kila siku mkilemewa mjadala but hivo ndio mambo yako.View attachment 2038895
Umesoma vizuri hiyo "article ya The Guardian?", tatizo ni kubomolewa kwa Nyumba za watu masikini kupiisha ujenzi wa barabara ya watu binafsi"Private road", Kama wangepisha "public road, Hospital, au ujenzi wa huduma yoyote ya jamii yenye kuwasaidia wananchi wa kawaida, hayo ndio yangekua ni maendeleo, huko kwenu mnathamini matajiri zaidi kuliko masikini
 
Barbara ya watu binafsi? Hivi una akili wewe? Barabara inayojengwa na serikali kwa public land Sasa imekuwa ya mtu binafsi?🚮🚮
 
Barbara ya watu binafsi? Hivi una akili wewe? Barabara inayojengwa na serikali kwa public land Sasa imekuwa ya mtu binafsi?[emoji706][emoji706]
They think that that road is the Nairobi expressway while its a completely different road. That's why anasema barabara ya watu binafsi.
 
Chinese backed Nairobi express way road toll", hii ni public road?, Someni hiyo "article" wazi kabisa inasema hiyo barabara inayojengwa ni private road, pia inasema wazi kwamba wanaotumia private cars ni 20%, wanaotembea kwa miguu kutokana na umasikini ni 45%
 
Hili jengo ulionalo linaitwa Southfield mall.
Hili jengo ukilipeleka Dar litakua among the top 3 best malls in Dar kiraisi. Hili jengo sio la mtu maskini. Ni watu Wachache Dunia hii, mark my words, sio eneo hili but dunia hii wanaoweza kuafford kujenga jengo kama hili.
Jengo hili lipo kando ya barabara iitwayo Airport South Road. Barabara hii ni part of the larger Eastern bypass Nairobi ambayo tunapoongea sahii, inapanuliwa. Hivi tunapoongea, jengo hili liko earmarked kukula nyundo. Kando na hili jengo, kuna majengo mengi Nairobi ambayo yamekula nyundo ili upanuzi wa barabara ufanyike. It is called the price for development. Ndio maana tunawaambia barabara zinazojengwa Nairobi sahii hazina equal hili eneo. Ubomozi haufanyiki kuumiza maskini bali ni necessary ili maendeleo yafanyike. Kama majengo modern yaliyo approved na City Council na yanayopendeza yanabomolewa Sasa mbona illegal structures zinazoharibu sura ya mji zisibomolewe? Najua mnaumwa mkiona tukibomoa haya makazi duni kisa hayo ndio huwa munakimbilia kila siku mkilemewa mjadala but hivo ndio mambo yako.View attachment 2038895

Hilo jengo mbona unalipa hadhi kubwa ivyo, eti Mark my word, niga seriously, hilo jengo lina uniqueness gani yani. Embu tupiamo more pctr of that building plz
 
Umesoma vizuri hiyo "article ya The Guardian?", tatizo ni kubomolewa kwa Nyumba za watu masikini kupiisha ujenzi wa barabara ya watu binafsi"Private road", Kama wangepisha "public road, Hospital, au ujenzi wa huduma yoyote ya jamii yenye kuwasaidia wananchi wa kawaida, hayo ndio yangekua ni maendeleo, huko kwenu mnathamini matajiri zaidi kuliko masikini
The same road imejenge chini yake a free road sijui why you avoiding that
 
Hilo jengo mbona unalipa hadhi kubwa ivyo, eti Mark my word, niga seriously, hilo jengo lina uniqueness gani yani. Embu tupiamo more pctr of that building plz
Make Google your friend. Search 'Southfield Mall' kisha nenda section ya pictures. Stop being lazy
 
Hili jengo ulionalo linaitwa Southfield mall.
Hili jengo ukilipeleka Dar litakua among the top 3 best malls in Dar kiraisi. Hili jengo sio la mtu maskini. Ni watu Wachache Dunia hii, mark my words, sio eneo hili but dunia hii wanaoweza kuafford kujenga jengo kama hili.
Jengo hili lipo kando ya barabara iitwayo Airport South Road. Barabara hii ni part of the larger Eastern bypass Nairobi ambayo tunapoongea sahii, inapanuliwa. Hivi tunapoongea, jengo hili liko earmarked kukula nyundo. Kando na hili jengo, kuna majengo mengi Nairobi ambayo yamekula nyundo ili upanuzi wa barabara ufanyike. It is called the price for development. Ndio maana tunawaambia barabara zinazojengwa Nairobi sahii hazina equal hili eneo. Ubomozi haufanyiki kuumiza maskini bali ni necessary ili maendeleo yafanyike. Kama majengo modern yaliyo approved na City Council na yanayopendeza yanabomolewa Sasa mbona illegal structures zinazoharibu sura ya mji zisibomolewe? Najua mnaumwa mkiona tukibomoa haya makazi duni kisa hayo ndio huwa munakimbilia kila siku mkilemewa mjadala but hivo ndio mambo yako.View attachment 2038895
I didn't know that Southfield has been earmarked for demolition. So sad but that's the price we pay for development
 
Chinese backed Nairobi express way road toll", hii ni public road?, Someni hiyo "article" wazi kabisa inasema hiyo barabara inayojengwa ni private road, pia inasema wazi kwamba wanaotumia private cars ni 20%, wanaotembea kwa miguu kutokana na umasikini ni 45%
Joto la Jiwe, how does being negative and salty about Kenya help you? All this energy you are putting in being negative about Kenya si you invest in a meaningful course? How is the expressway a private road? The expressway is being built along Mombasa road and Uhuru Highway which have always been and will always be public roads. Just because it will be a toll road does that makes it a private road? How many toll roads are there in the world and are they private roads too or is ours an exception of its kind?

Secondly, are you aware that using the toll expressway (the elevated section) will be completely optional? Are you aware that motorists along that road will still use it without paying even a single cent if they choose to? (toll-free section). So what's the bile and hullabaloo all about?

Hangaika na masaibu ya Dar, mambo ya Kenya are beyond your comprehension.
 
Hilo jengo mbona unalipa hadhi kubwa ivyo, eti Mark my word, niga seriously, hilo jengo lina uniqueness gani yani. Embu tupiamo more pctr of that building plz
Why are you putting words in my mouth? I said very few people in the world can afford to build it. Those are my words. Can you built it yourself?
 
Back
Top Bottom