40,000 people in one of the largest slums in the Kenyan capital have had their homes demolished to make way for works for a Chinese-backed toll road
www.theguardian.com
Note:
1) 45% ya wakazi wa Nairobi hutembea kwa miguu kwa kukosa nauli ya matatu
2)40% hutumia matatu
3)Hutumia usafiri binafsi
4)0.2% Hutumia train
MY TAKE: Kenya raia wa chini hathaminiki kabisa, vipi hapa JF wakenya wanaifurahia hii barabara ya Mchina ambayo haina faida kwa raia walio wenge?
"Where shall I be this time tomorrow"
By Ngugi wa Thiong'o.
Tony254