Hili jengo ulionalo linaitwa Southfield mall.
Hili jengo ukilipeleka Dar litakua among the top 3 best malls in Dar kiraisi. Hili jengo sio la mtu maskini. Ni watu Wachache Dunia hii, mark my words, sio eneo hili but dunia hii wanaoweza kuafford kujenga jengo kama hili.
Jengo hili lipo kando ya barabara iitwayo Airport South Road. Barabara hii ni part of the larger Eastern bypass Nairobi ambayo tunapoongea sahii, inapanuliwa. Hivi tunapoongea, jengo hili liko earmarked kukula nyundo. Kando na hili jengo, kuna majengo mengi Nairobi ambayo yamekula nyundo ili upanuzi wa barabara ufanyike. It is called the price for development. Ndio maana tunawaambia barabara zinazojengwa Nairobi sahii hazina equal hili eneo. Ubomozi haufanyiki kuumiza maskini bali ni necessary ili maendeleo yafanyike. Kama majengo modern yaliyo approved na City Council na yanayopendeza yanabomolewa Sasa mbona illegal structures zinazoharibu sura ya mji zisibomolewe? Najua mnaumwa mkiona tukibomoa haya makazi duni kisa hayo ndio huwa munakimbilia kila siku mkilemewa mjadala but hivo ndio mambo yako.
View attachment 2038895