joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kati ya "urban Private road" na Nyumba za makazi ya watu, kipi ni maendeleo?Ni historia ya maendeleo, ni lazima wengine waumie ili maendeleo yapatikane.
Urban private road ndio nini mzeeKati ya "urban Private road" na Nyumba za makazi ya watu, kipi ni maendeleo?
Kuna kitu kinaitwa road reserve bongolala. Ukijenga kwenye road reserve hapa kenya don't expect anything less. Hata maghorofa na shopping malls zimepigwa chini kupisha ujenzi wa barabaraKati ya "urban Private road" na Nyumba za makazi ya watu, kipi ni maendeleo?
Matatizo ni kama maendeleo, huwa hayana chama😆Au Hao Watakua hawakumpigia kura Kenyatta
Umesoma vizuri hiyo "article ya The Guardian?", tatizo ni kubomolewa kwa Nyumba za watu masikini kupiisha ujenzi wa barabara ya watu binafsi"Private road", Kama wangepisha "public road, Hospital, au ujenzi wa huduma yoyote ya jamii yenye kuwasaidia wananchi wa kawaida, hayo ndio yangekua ni maendeleo, huko kwenu mnathamini matajiri zaidi kuliko masikiniHili jengo ulionalo linaitwa Southfield mall.
Hili jengo ukilipeleka Dar litakua among the top 3 best malls in Dar kiraisi. Hili jengo sio la mtu maskini. Ni watu Wachache Dunia hii, mark my words, sio eneo hili but dunia hii wanaoweza kuafford kujenga jengo kama hili.
Jengo hili lipo kando ya barabara iitwayo Airport South Road. Barabara hii ni part of the larger Eastern bypass Nairobi ambayo tunapoongea sahii, inapanuliwa. Hivi tunapoongea, jengo hili liko earmarked kukula nyundo. Kando na hili jengo, kuna majengo mengi Nairobi ambayo yamekula nyundo ili upanuzi wa barabara ufanyike. It is called the price for development. Ndio maana tunawaambia barabara zinazojengwa Nairobi sahii hazina equal hili eneo. Ubomozi haufanyiki kuumiza maskini bali ni necessary ili maendeleo yafanyike. Kama majengo modern yaliyo approved na City Council na yanayopendeza yanabomolewa Sasa mbona illegal structures zinazoharibu sura ya mji zisibomolewe? Najua mnaumwa mkiona tukibomoa haya makazi duni kisa hayo ndio huwa munakimbilia kila siku mkilemewa mjadala but hivo ndio mambo yako.View attachment 2038895
Barbara ya watu binafsi? Hivi una akili wewe? Barabara inayojengwa na serikali kwa public land Sasa imekuwa ya mtu binafsi?🚮🚮Umesoma vizuri hiyo "article ya The Guardian?", tatizo ni kubomolewa kwa Nyumba za watu masikini kupiisha ujenzi wa barabara ya watu binafsi"Private road", Kama wangepisha "public road, Hospital, au ujenzi wa huduma yoyote ya jamii yenye kuwasaidia wananchi wa kawaida, hayo ndio yangekua ni maendeleo, huko kwenu mnathamini matajiri zaidi kuliko masikini
They think that that road is the Nairobi expressway while its a completely different road. That's why anasema barabara ya watu binafsi.Barbara ya watu binafsi? Hivi una akili wewe? Barabara inayojengwa na serikali kwa public land Sasa imekuwa ya mtu binafsi?[emoji706][emoji706]
Chinese backed Nairobi express way road toll", hii ni public road?, Someni hiyo "article" wazi kabisa inasema hiyo barabara inayojengwa ni private road, pia inasema wazi kwamba wanaotumia private cars ni 20%, wanaotembea kwa miguu kutokana na umasikini ni 45%They think that that road is the Nairobi expressway while its a completely different road. That's why anasema barabara ya watu binafsi.
Hili jengo ulionalo linaitwa Southfield mall.
Hili jengo ukilipeleka Dar litakua among the top 3 best malls in Dar kiraisi. Hili jengo sio la mtu maskini. Ni watu Wachache Dunia hii, mark my words, sio eneo hili but dunia hii wanaoweza kuafford kujenga jengo kama hili.
Jengo hili lipo kando ya barabara iitwayo Airport South Road. Barabara hii ni part of the larger Eastern bypass Nairobi ambayo tunapoongea sahii, inapanuliwa. Hivi tunapoongea, jengo hili liko earmarked kukula nyundo. Kando na hili jengo, kuna majengo mengi Nairobi ambayo yamekula nyundo ili upanuzi wa barabara ufanyike. It is called the price for development. Ndio maana tunawaambia barabara zinazojengwa Nairobi sahii hazina equal hili eneo. Ubomozi haufanyiki kuumiza maskini bali ni necessary ili maendeleo yafanyike. Kama majengo modern yaliyo approved na City Council na yanayopendeza yanabomolewa Sasa mbona illegal structures zinazoharibu sura ya mji zisibomolewe? Najua mnaumwa mkiona tukibomoa haya makazi duni kisa hayo ndio huwa munakimbilia kila siku mkilemewa mjadala but hivo ndio mambo yako.View attachment 2038895
Nyumba MTU anaeza Hama ajenge kwingineKati ya "urban Private road" na Nyumba za makazi ya watu, kipi ni maendeleo?
The same road imejenge chini yake a free road sijui why you avoiding thatUmesoma vizuri hiyo "article ya The Guardian?", tatizo ni kubomolewa kwa Nyumba za watu masikini kupiisha ujenzi wa barabara ya watu binafsi"Private road", Kama wangepisha "public road, Hospital, au ujenzi wa huduma yoyote ya jamii yenye kuwasaidia wananchi wa kawaida, hayo ndio yangekua ni maendeleo, huko kwenu mnathamini matajiri zaidi kuliko masikini
Make Google your friend. Search 'Southfield Mall' kisha nenda section ya pictures. Stop being lazyHilo jengo mbona unalipa hadhi kubwa ivyo, eti Mark my word, niga seriously, hilo jengo lina uniqueness gani yani. Embu tupiamo more pctr of that building plz
I didn't know that Southfield has been earmarked for demolition. So sad but that's the price we pay for developmentHili jengo ulionalo linaitwa Southfield mall.
Hili jengo ukilipeleka Dar litakua among the top 3 best malls in Dar kiraisi. Hili jengo sio la mtu maskini. Ni watu Wachache Dunia hii, mark my words, sio eneo hili but dunia hii wanaoweza kuafford kujenga jengo kama hili.
Jengo hili lipo kando ya barabara iitwayo Airport South Road. Barabara hii ni part of the larger Eastern bypass Nairobi ambayo tunapoongea sahii, inapanuliwa. Hivi tunapoongea, jengo hili liko earmarked kukula nyundo. Kando na hili jengo, kuna majengo mengi Nairobi ambayo yamekula nyundo ili upanuzi wa barabara ufanyike. It is called the price for development. Ndio maana tunawaambia barabara zinazojengwa Nairobi sahii hazina equal hili eneo. Ubomozi haufanyiki kuumiza maskini bali ni necessary ili maendeleo yafanyike. Kama majengo modern yaliyo approved na City Council na yanayopendeza yanabomolewa Sasa mbona illegal structures zinazoharibu sura ya mji zisibomolewe? Najua mnaumwa mkiona tukibomoa haya makazi duni kisa hayo ndio huwa munakimbilia kila siku mkilemewa mjadala but hivo ndio mambo yako.View attachment 2038895
Joto la Jiwe, how does being negative and salty about Kenya help you? All this energy you are putting in being negative about Kenya si you invest in a meaningful course? How is the expressway a private road? The expressway is being built along Mombasa road and Uhuru Highway which have always been and will always be public roads. Just because it will be a toll road does that makes it a private road? How many toll roads are there in the world and are they private roads too or is ours an exception of its kind?Chinese backed Nairobi express way road toll", hii ni public road?, Someni hiyo "article" wazi kabisa inasema hiyo barabara inayojengwa ni private road, pia inasema wazi kwamba wanaotumia private cars ni 20%, wanaotembea kwa miguu kutokana na umasikini ni 45%
Why are you putting words in my mouth? I said very few people in the world can afford to build it. Those are my words. Can you built it yourself?Hilo jengo mbona unalipa hadhi kubwa ivyo, eti Mark my word, niga seriously, hilo jengo lina uniqueness gani yani. Embu tupiamo more pctr of that building plz