NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
Wewe unafuata article ama ukweli? Does the Nairobi Expressway pass through Mukuru Kwa Njenga?Chinese backed Nairobi express way road toll", hii ni public road?, Someni hiyo "article" wazi kabisa inasema hiyo barabara inayojengwa ni private road, pia inasema wazi kwamba wanaotumia private cars ni 20%, wanaotembea kwa miguu kutokana na umasikini ni 45%
So barabara ikiwa ni toll road it automatically becomes a private road? Wewe shenzi type kabisaChinese backed Nairobi express way road toll", hii ni public road?, Someni hiyo "article" wazi kabisa inasema hiyo barabara inayojengwa ni private road, pia inasema wazi kwamba wanaotumia private cars ni 20%, wanaotembea kwa miguu kutokana na umasikini ni 45%
Note:How Nairobi’s ‘road for the rich’ resulted in thousands of homes reduced to rubble
40,000 people in one of the largest slums in the Kenyan capital have had their homes demolished to make way for works for a Chinese-backed toll roadwww.theguardian.com
1) 45% ya wakazi wa Nairobi hutembea kwa miguu kwa kukosa nauli ya matatu
2)40% hutumia matatu
3)Hutumia usafiri binafsi
4)0.2% Hutumia train
MY TAKE: Kenya raia wa chini hathaminiki kabisa, vipi hapa JF wakenya wanaifurahia hii barabara ya Mchina ambayo haina faida kwa raia walio wenge?
"Where shall I be this time tomorrow"
By Ngugi wa Thiong'o.
Tony254
Umesoma vizuri hiyo "article ya The Guardian?", tatizo ni kubomolewa kwa Nyumba za watu masikini kupiisha ujenzi wa barabara ya watu binafsi"Private road", Kama wangepisha "public road, Hospital, au ujenzi wa huduma yoyote ya jamii yenye kuwasaidia wananchi wa kawaida, hayo ndio yangekua ni maendeleo, huko kwenu mnathamini matajiri zaidi kuliko masikini
Ukweli ni upi Kati ya "Creidible internationally recognized Newspaper na unaosemwa na watu wa mtaani na hapa JF?Wewe unafuata article ama ukweli? Does the Nairobi Expressway pass through Mukuru Kwa Njenga?
Ninajua kwamba uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo Sana, lakini ninajitolea kuwaelimisha.Barabara ya watu binafsi ni gani? Kuna watu ambao watakatazwa kupitia?
Barabara ya kuingia kwako ni binafsi. Ya kuingia chooni mwako ni banafsi. Bongolala ata concept ya toll road ni ngumu kwenu.
Wewe punguza ujinga na wivu.
Ujinga wenu wekeni pembeni, toll road za Tanzania zote ni public projects, pesa zinaingia serikalini, huko kweni pesa yote inaingia mifukoni mwa watu binafsi.Si this same tanzanian idiots one time walituringia na ile toll road wakonayo sasa sahii ni wivu ya expressway inawasumbua
Hahahaha, kwahiyo 45% ya wakenya wanaishi karibu na maeneo ya biashara?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],99% ya Wakazi wa Nairobi wanaotembea, huishi karibu na maeneo yao ya biashara, wala sio kukosa nauli.
Nonsense.
Kwahiyo Nairobi Express way inajengwa na serikali sio wachina ambao wataimiliki kwa muda wa miaka 30 hadi pesa Yao itakaporudi?. Wewe na hao "The guardians" nani anakukunya katika mifuko ya plastic?[emoji23][emoji23][emoji23]So barabara ikiwa ni toll road it automatically becomes a private road? Wewe shenzi type kabisa
Do you know the meaning of the word private road bongolala?Kwahiyo Nairobi Express way inajengwa na serikali sio wachina ambao wataimiliki kwa muda wa miaka 30 hadi pesa Yao itakaporudi?. Wewe na hao "The guardians" nani anakukunya katika mifuko ya plastic?[emoji23][emoji23][emoji23]
I don't know my friend Kunyamen[emoji23][emoji23]Do you know the meaning of the word private road bongolala?
Maendeleo gani wakati ni biashara ya wachina ambayo haitengenezi ajira, Wala haina "any significant positive Economic impact for normal citizens.Kama ni kwa maendeleo wacha wapishe tu tunahitaji kuwa na miji mziri iliyopangika vizuri miaka ya baadae Africa.
So "internationally recognized newspaper" can even change the course of a road from what everyone knows iihamishe kwingine? Kwa hivyo The Guardian inaijua Nairobi kuliko sisi wenyeji? Eti wakisema expressway inapitia Mukuru basi Ni hivyo hata kama Ni uwongo? For the second time, wewe Ni shenzi type kabisa!Ukweli ni upi Kati ya "Creidible internationally recognized Newspaper na unaosemwa na watu wa mtaani na hapa JF?
Kuishi karibu na majengo ya University hakukufanyi kujua zaidi kuliko wageni ambao ni wanafunzi katika hiyo University, punguza ukunya wakoSo "internationally recognized newspaper" can even change the course of a road from what everyone knows iihamishe kwingine? Kwa hivyo The Guardian inaijua Nairobi kuliko sisi wenyeji? Eti wakisema expressway inapitia Mukuru basi Ni hivyo hata kama Ni uwongo? For the second time, wewe Ni shenzi type kabisa!
Wewe ni meffi, hakuna expressway inajengwa mukuru kwa njenga, tuulize sisi wenyeji tukuambie kunajengwa Nini na uwachane na githeri media ya UK .Ukweli ni upi Kati ya "Creidible internationally recognized Newspaper na unaosemwa na watu wa mtaani na hapa JF?
Wewe slum dweller, Rudi kwenye slum yako ukakukunye kwa Mafi ndani ya mifuko ya plastic, hauwezi jua kitu yoyote[emoji23][emoji23]Wewe ni meffi, hakuna expressway inajengwa mukuru kwa njenga, tuulize sisi wenyeji tukuambie kunajengwa Nini na uwachane na githeri media ya UK .
Hahahaha, kwahiyo 45% ya wakenya wanaishi karibu na maeneo ya biashara?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Umenikasirikia 🤣🤣🤣Wewe slum dweller, Rudi kwenye slum yako ukakukunye kwa Mafi ndani ya mifuko ya plastic, hauwezi jua kitu yoyote[emoji23][emoji23]