joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #41
What should I call you my friend Kunyamen. So there is no need for public transport in Nairobi, why do you have all those stupid old model matatu, still you are dreaming for BRT?[emoji23][emoji23][emoji23]Yeah. It's closer to 80% for the whole of Kenya.
For Nairobi, certainly around 50%.
Ninajua kwamba uwezo wenu wa kufikiria ni mdogo Sana, lakini ninajitolea kuwaelimisha.
Nairobi Hospital ni Hospitali binafsi, Kenyatta Hospital ni Public Hospital.
Japo kote huko wagonjwa hulipia matibabu, lakini pesa inayopatikana Nairobi Hospital, inaingia mifukoni mwa watu binafsi, serikali inapata Kodi pekee, wakati pesa inayopatikana Kenyatta Hospital, yote inaingia serikalini.
What should I call you my friend Kunyamen. So there is no need for public transport in Nairobi, why do you have all those stupid old model matatu, still you are dreaming for BRT?[emoji23][emoji23][emoji23]
Yani uko na hardware on the same apartment yenye unaishi lakini ushuke upande matatu hadi town urudi ndio uingie hardware kufurahisha some random non-entity on JF.🤣99% ya Wakazi wa Nairobi wanaotembea, huishi karibu na maeneo yao ya biashara, wala sio kukosa nauli.
Nonsense.
Poleni Kama bado Kenyatta Hospital hadi Leo haijiendeshi kwa faida, huku kwetu Sasa hivi Muhimbili Hospital pamoja na kupewa bajeti na serikali, lakini mapato yake ni zaidi ya kile inachopewa toka serikalini, kwahiyo inachangia katika Pato la taifa, tunapokea wagonjwa wengi toka nchi za jirani ambao wanaongeza Sana mapato ya Hospital.Kwanza, hakuna pesa yoyote serikali inapata kutoka public hospitals. In fact, serikali inaendelea kumwaga pesa humo.
Pili, Nairobi hospital ilijengwa na private money, on private land, and there is no obligation to revert it to the public after a number of years.
Tatu, even if GOK built the expressway, Wakenya bado wangelipia in form of more taxes.
Ukweli ni upi Kati ya "Creidible internationally recognized Newspaper na unaosemwa na watu wa mtaani na hapa JF?
Show us proof Muhimbili hospital makes profit.Poleni Kama bado Kenyatta Hospital hadi Leo haijiendeshi kwa faida, huku kwetu Sasa hivi Muhimbili Hospital pamoja na kupewa bajeti na serikali, lakini mapato yake ni zaidi ya kile inachopewa toka serikalini, kwahiyo inachangia katika Pato la taifa, tunapokea wagonjwa wengi toka nchi za jirani ambao wanaongeza Sana mapato ya Hospital.
Sijasema Wala kupendekeza kwamba Nairobi Hospital iwe Public Hospital, nilitaka kuonyesha tofauti Kati ya Private vs Public owned projects.
Kwa ufupi ni kwamba, Kuna faida kubwa Sana kwa jamii Kama project ni public owned kuliko PPP au Private owned.
Kwa hiyo hiyo article yote inapoteza maana kwa kukosea sehemu Moja pekee?, Vipi kuhusu nyumba za watu masikini kubomolewa kupisha ujenzi wa Nairobi Express way, vipi kwamba barabara hiyo itakuwa ni Mali ya Mchina kwa miaka 30 na kwamba watu wengi hawatoweza kuitumia kutokana na umasikini?, Vipi kwamba 45% ya watu Nairobi hutembea kwa miguu?,Ukweli ni facts. Article inasema nyumba zilibomolewa Mukuru kwa Njenga ili kujengwe expressway. Chukua Google maps yako uangalie kama Expressway imepitia Mukuru kwa Njenga alafu uje unieleze kati ya huyo reporter na mimi nani mkweli. Yani umeze tu utopolo kisa mzungu amesema? Yani hata mzungu akisema jengo la TPA lililoniwa na Mkenya liko Arusha utakubali tu kisa ni mzungu amesema wakati unaujua ukweli? Halafu mnashinda mkiambia wengine jinsi wanavyoabudu wazungu.
Wacha ubongolala, ng'ang'ana na uswazi za DarKuishi karibu na majengo ya University hakukufanyi kujua zaidi kuliko wageni ambao ni wanafunzi katika hiyo University, punguza ukunya wako
Kwahiyo ukiwa na biashara karibu na unapoishi, huna mahitaji mengine?, Huitaji kwenda Hospitalini, sokoni, mahakamani, kununua bidhaa zingine, kutembelea jamaa.Yani uko na hardware on the same apartment yenye unaishi lakini ushuke upande matatu hadi town urudi ndio uingie hardware kufurahisha some random non-entity on JF.[emoji1787]
Bongolala, I already told you that hapa Kenya haijalishi wewe ni nani as long as umejenga kwenye road reserve. Whether you've built a multi-billion empire or a shanty kama hizo zenu za Dar wembe ni ule ule as long as umejenga kwenye road reserve. Utabomolewa upende usipinde.Kwa hiyo hiyo article yote inapoteza maana kwa kukosea sehemu Moja pekee?, Vipi kuhusu nyumba za watu masikini kubomolewa kupisha ujenzi wa Nairobi Express way, vipi kwamba barabara hiyo itakuwa ni Mali ya Mchina kwa miaka 30 na kwamba watu wengi hawatoweza kuitumia kutokana na umasikini?, Vipi kwamba 45% ya watu Nairobi hutembea kwa miguu?,
Maelezo yote hayo jengo lenyewe ndo hili, Fanya urudi tu Turkana ukauze shampoo na liquid soap.Hili jengo ulionalo linaitwa Southfield mall.
Hili jengo ukilipeleka Dar litakua among the top 3 best malls in Dar kiraisi. Hili jengo sio la mtu maskini. Ni watu Wachache Dunia hii, mark my words, sio eneo hili but dunia hii wanaoweza kuafford kujenga jengo kama hili.
Jengo hili lipo kando ya barabara iitwayo Airport South Road. Barabara hii ni part of the larger Eastern bypass Nairobi ambayo tunapoongea sahii, inapanuliwa. Hivi tunapoongea, jengo hili liko earmarked kukula nyundo. Kando na hili jengo, kuna majengo mengi Nairobi ambayo yamekula nyundo ili upanuzi wa barabara ufanyike. It is called the price for development. Ndio maana tunawaambia barabara zinazojengwa Nairobi sahii hazina equal hili eneo. Ubomozi haufanyiki kuumiza maskini bali ni necessary ili maendeleo yafanyike. Kama majengo modern yaliyo approved na City Council na yanayopendeza yanabomolewa Sasa mbona illegal structures zinazoharibu sura ya mji zisibomolewe? Najua mnaumwa mkiona tukibomoa haya makazi duni kisa hayo ndio huwa munakimbilia kila siku mkilemewa mjadala but hivo ndio mambo yako.View attachment 2038895
Ila hata kama ingekuwa kupisha ujenzi, wangewatafutia hata sehemu ya kuwapeleka kwanza.[emoji848]Note:How Nairobi’s ‘road for the rich’ resulted in thousands of homes reduced to rubble
40,000 people in one of the largest slums in the Kenyan capital have had their homes demolished to make way for works for a Chinese-backed toll roadwww.theguardian.com
1) 45% ya wakazi wa Nairobi hutembea kwa miguu kwa kukosa nauli ya matatu
2)40% hutumia matatu
3)Hutumia usafiri binafsi
4)0.2% Hutumia train
MY TAKE: Kenya raia wa chini hathaminiki kabisa, vipi hapa JF wakenya wanaifurahia hii barabara ya Mchina ambayo haina faida kwa raia walio wenge?
"Where shall I be this time tomorrow"
By Ngugi wa Thiong'o.
Tony254
Now I understand why Ngugi wa Thiong'o wrote "This time Tomorrow" and why he spent almost 50yrs in exile after publishing that book.Bongolala, I already told you that hapa Kenya haijalishi wewe ni nani as long as umejenga kwenye road reserve. Whether you've built a multi-billion empire or a shanty kama hizo zenu za Dar wembe ni ule ule as long as umejenga kwenye road reserve. Utabomolewa upende usipinde.
Kenya tears down 'illegal' upmarket mall - BBC News
Homes and businesses are earmarked for demolition because they sit on Nairobi wetland.www.bbc.com
Bro kwa kenya ikifika swala la ardhi hawajuagi we maskini au tajiri..Umesoma vizuri hiyo "article ya The Guardian?", tatizo ni kubomolewa kwa Nyumba za watu masikini kupiisha ujenzi wa barabara ya watu binafsi"Private road", Kama wangepisha "public road, Hospital, au ujenzi wa huduma yoyote ya jamii yenye kuwasaidia wananchi wa kawaida, hayo ndio yangekua ni maendeleo, huko kwenu mnathamini matajiri zaidi kuliko masikini
Poleni Kama bado Kenyatta Hospital hadi Leo haijiendeshi kwa faida, huku kwetu Sasa hivi Muhimbili Hospital pamoja na kupewa bajeti na serikali, lakini mapato yake ni zaidi ya kile inachopewa toka serikalini, kwahiyo inachangia katika Pato la taifa, tunapokea wagonjwa wengi toka nchi za jirani ambao wanaongeza Sana mapato ya Hospital.
Sijasema Wala kupendekeza kwamba Nairobi Hospital iwe Public Hospital, nilitaka kuonyesha tofauti Kati ya Private vs Public owned projects.
Kwa ufupi ni kwamba, Kuna faida kubwa Sana kwa jamii Kama project ni public owned kuliko PPP au Private owned.
Show us proof Muhimbili hospital makes profit.
Tanzania ni nchi pekee Africa ambapo wagonjwa wa Cancer hutibiwa bure,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Madaktari wote Tanzania hulipwa na serikali, hata hao casual employees pia hulipwa na serikali, matibabu yote ni bure katika dispensary and Health Centres, maji vijijini ni bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Poleni kama Tanzania hamna matibabu ya bure.
GOK subdisizes medicine, equipment, procedures etc. Wajawazito huzaa bure kwa mfano.
Equipment kubwa kubwa ambazo TZ mnazipata Muhimbili tu, Kenya zimejaa kila county, na zinaendelea kuongezwa. Pesa ya serikali.
Madaktari wanalipwa na serikali, sio hospitali.
Pesa hospitali inayotengeneza yenyewe ni ya kulipa casual workers na other basic operations.
Ndio maana matibabu inabaki kuwa affordable.
Hiyo ndio tofauti ya Kenya na Tanzania, that's why Tanzania's public Hospital are better than your Private Hospitals, we have better equipments in our public Hospitals than in Karen and Nairobi Hospitals, that's why we can perform bone marrow transplant and Choclear implants, which are very advanced medical procedures, neither Karen nor Nairobi Hospital can try these. You need to come and learn from us, stop your jealous attitude.He doesn't understand things in general.
A profit making hospital should be self-sustaining in the first place.
It should buy its own equipment and pay its own doctors. If the doctors are getting paid by the government for example.
If public hospitals paid their own doctors and nurses from internal funds, they would have shut down decades ago.
Tanzania ni nchi pekee Africa ambapo wagonjwa wa Cancer hutibiwa bure,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Madaktari wote Tanzania hulipwa na serikali, hata hao casual employees pia hulipwa na serikali, matibabu yote ni bure katika dispensary and Health Centres, maji vijijini ni bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]