BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Takariban watu Milioni 22 kutoka Pembe ya Afrika Mashariki wapo hatarini kukumbwa na baa la njaa ikiwa ni ongezeko la watu Milioni 9 tangu mwanzoni mwa mwaka 2022
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limesema uhaba wa mvua kwa misimu minne mfululizo umesababisha idadi kubwa ya wananchi wa Kenya, Ethiopia na Somalia kuingia kwenye kundi hilo
Zaidi ya watu Milioni moja wamekimbia makazi yao kwaajili ya kwenda kutafuta chakula na maji
Ombi la fedha lililotolewa kwa mataifa makubwa mwezi Januari limekuwa likisuasua, huku vita ya Ukraine na Urusi ikilaumiwa kwa kupewa misaada mingi na kuzuia usafirishaji wa chakula.
=========================
The number of people at risk of starvation in the drought-ravaged Horn of Africa has increased to 22 million, the UN’s World Food Programme (WFP) said on Friday.
Years of insufficient rainfall across Kenya, Somalia and Ethiopia have caused the worst drought in 40 years and conditions akin to famine in the hardest-hit areas, aid groups say.
An unprecedented four failed rainy seasons has killed millions of livestock, destroyed crops, and forced 1.1 million people from their homes in search of food and water.
"The world needs to act now to protect the most vulnerable communities from the threat of widespread famine in the Horn of Africa," said WFP executive director David Beasley.
Source: TheNews