Habarini,
Baada ya kusota kitaa hatimae unaajiriwa, miezi ya mwanzo ya kuajiriwa ukipokea mshahara unajikuta mishahara inakutana, mshahara wa march unakutana na mshahara wa April
Katikati ya mwezi mtu akikuomba elf 20 unampa hata elf 50 au laki comfortably, na unaona haiku-cost kwenye expenses zako hadi mwezi unaisha hela inabaki, mishahara inakutana.
Jinsi mda unavoenda, hapo majukumu yako hayajaongezeka, huna mtu anaekutegemea, lifestyle inakua haijabadilika sana, ila unashangaa ghafla unaanza mwezi mpya na ki-deni, mara ikifika tarehe 18 ya mwezi unaanza ku-struggle kufika mwisho wa mwezi, inafika mahali hata mtu akitaka umsaidie na una nia ya kumsaidia, inabidi akuombe mwezi mmoja kabla, vinginevyo ukimgea hata elf 20 katikati ya mwezi ushavuruga budget zako, ni mwendo wa kutembelea rim
Elf 70 inaisha ila unaona kama umefanya matumizi ya elf 20 tu, ila uhalisia ni elf 70 imekata..
Tutajenga?