Kumbe Jf kuna watu wameajiriwa. Mimi nilifikiri humu kila mtu ni tajiri na amejiajiri.Habarini,
Baada ya kusota kitaa hatimae unaajiriwa, miezi ya mwanzo ya kuajiriwa ukipokea mshahara unajikuta mishahara inakutana, mshahara wa march unakutana na mshahara wa April
Katikati ya mwezi mtu akikuomba elf 20 unampa hata elf 50 au laki comfortably, na unaona haiku-cost kwenye expenses zako hadi mwezi unaisha hela inabaki, mishahara inakutana.
Jinsi mda unavoenda, hapo majukumu yako hayajaongezeka, huna mtu anaekutegemea, lifestyle inakua haijabadilika sana, ila unashangaa ghafla unaanza mwezi mpya na ki-deni, mara ikifika tarehe 18 ya mwezi unaanza ku-struggle kufika mwisho wa mwezi, inafika mahali hata mtu akitaka umsaidie na una nia ya kumsaidia, inabidi akuombe mwezi mmoja kabla, vinginevyo ukimgea hata elf 20 katikati ya mwezi ushavuruga budget zako, ni mwendo wa kutembelea rim
Elf 70 inaisha ila unaona kama umefanya matumizi ya elf 20 tu, ila uhalisia ni elf 70 imekata..
Tutajenga?
Mimi kufika nilipofika, nimesaidiwa sana na wajomba zangu. Ukisema mjomba nisimpe hela yangu siwez kukuelewa.Kwa hali ya kawaida hiyo ni kupanda kwa gharama za maisha na kipato ni kile kile .....
Kingine ni matumizi yako binafsi kuyazingatia.... expenses zisizo na tija achana nazo, starehe, madem n.k achana nayo !
Kingine ni ndugu...zingatia tena ndugu , wanafilisji mno, wasidie wazazi na ndugu muhimu tu mfano mdogo ako au mkubwa wako tena wa damu, na si mara zote ! Wajomba, Shangazi, ba mkubwa piga chini kabisa !
Mshahara unakutosha wewe peke yako.Habarini,
Baada ya kusota kitaa hatimae unaajiriwa, miezi ya mwanzo ya kuajiriwa ukipokea mshahara unajikuta mishahara inakutana, mshahara wa march unakutana na mshahara wa April
Katikati ya mwezi mtu akikuomba elf 20 unampa hata elf 50 au laki comfortably, na unaona haiku-cost kwenye expenses zako hadi mwezi unaisha hela inabaki, mishahara inakutana.
Jinsi mda unavoenda, hapo majukumu yako hayajaongezeka, huna mtu anaekutegemea, lifestyle inakua haijabadilika sana, ila unashangaa ghafla unaanza mwezi mpya na ki-deni, mara ikifika tarehe 18 ya mwezi unaanza ku-struggle kufika mwisho wa mwezi, inafika mahali hata mtu akitaka umsaidie na una nia ya kumsaidia, inabidi akuombe mwezi mmoja kabla, vinginevyo ukimgea hata elf 20 katikati ya mwezi ushavuruga budget zako, ni mwendo wa kutembelea rim
Elf 70 inaisha ila unaona kama umefanya matumizi ya elf 20 tu, ila uhalisia ni elf 70 imekata..
Tutajenga?
Mimi kufika nilipofika, nimesaidiwa sana na wajomba zangu. Ukisema mjomba nisimpe hela yangu siwez kukuelewa.
Mimi sio tu hela ya sherehe, hata wakiomba nisaidie hela ya kula au ya ada, naituma chap bila kuwaza mara mbili 2.Msaada ni lazima kuulipa ? Mm tofauti na wazazi na ndugu wa damu wengine hapana... matukio ya kijamii kama ugonjwa ama misiba natoa pesa.... sherehe nazo sitoi
πππMshahara unatosha kama ndugu hawajajua kuwa umeajiriwa.
Hii ndio tatizoTatizo ni wewe, Kila mwezi unaongeza matumizi wakati kipato ni kilekile. Ulikuwa unakunywa bia 5 sasa utataka unywe 20, ulikuwa una dem mmoja sasa unataka uwe nao watatu, ulikuwa unaishi chumba Cha 50k unataka chumba na sebule 150k