Archnemesis 2-0
JF-Expert Member
- Aug 25, 2024
- 1,564
- 3,279
Hii Dunia tupo kwenye ndoto , sio uhalisia (simulation)Habari za mapambano wakuu,
Kuna swali hua najiuliza sana haswa wiki inapoanza jumatatu napokua naelekea kwenye majukumu, hivi watu niliosoma nao primary, seco na chuo mbona asilimia zaidi ya 97% siwaoni? Sio kwenye maofisi ya uma na binafsi, usafiri wa uma kama daladala na mwendo kasi, sehemu za huduma za kijamii kama migahawani au hata za ibada (kwa mimi msikitini).
Niwe mkweli napenda sana privacy na ninafurahi kutoonana na watu naowajua hovyo ila haiondoi hilo swali kichwani! Kwenye utafutaji nina uzoefu wa miaka 9+ kwenye ajira makampuni tofauti lakini pia nishajichanganya sehemu tofauti tofauti mikoa yote mikubwa apa nchini cha ajabu ni nadra kukutana ata na wafanyakazi wenzangu wa zamani au wapambanaji wengine tulio hustle nao.
Maex ndio sinaga bahati ya kuonana kabisaaa wakati nilikua lewandowski mmoja sniper sikosi, ila kwa hili nashkuru hao sina ata shauku ya kuonana nao.
Na kuna marafiki wa utotoni mliokua mtaani pamoja, sjui wameyeyukia wapi? Ubaya hua nikikuta nimewekwa group najitoa naonaga upuuzi kukuta msg 628+ kusoma ata kujibu ni mzozo.. ila mada ni kuonana ata kwa juu juu humu mjini kwahiyo magroup sio kesi bado.
Kuna muda hua najiuliza au watu wamekua wamebadilika labda mwengine kufutuka sana ata huwezi mjua? Kwa mimi watu wengi huniambia wajihi wangu haubadiliki tokea utotoni so ni rahisi kunijua na imenitokea mara kadhaa mtu ananikumbusha ila simkumbuki. Hivo inawezekana napishana na watu waliobadilika kiasi cha kutokumtambua? Hili silipi uzito.
Hivi kuna member mwengine hua anajiuliza kama mimi na ina tija kuwaza hivo?
Tuanze hesabu,Habari za mapambano wakuu,

😂😂😂 noma sana umenipa mbinu kali ila hapo ntakua nakaribisha chawa sio marafiki wa kweli 🤝Wengi wapo facebook huko. Wewe jaribu kuvaa suti mpya kisha post "Asante mama kwa kuniteua kuwa mkuu wa wilaya ya Lushoto", Lazima uone watakavyotiririka inbox na kwenye comment.
Ongezea nyama kidogo mkuu, matrix flani au sioHii Dunia tupo kwenye ndoto , sio uhalisia (simulation)
Jibu la kisomi mkuu safi sana 🤝Tuanze hesabu,
Primary darasani mlikua 200
Secondary daradani mlikua 200
A Level darasani mlikua 100
Chuo labda 200
Hawa jumla ni watu 700.
Tanzania ina watu jumla 70millioni approximately. So probability ya kukutana na watu Hawa 700 katika watu wote 70millioni walioko Tanzania ni 0.00001.
Hii point kubwa sana ungeongezea nyama kidogoHii Dunia tupo kwenye ndoto , sio uhalisia (simulation)
Nahisi huwa mapepo ya muda ya kuwakutanisha mnajuana kimapenxi nk mnaachana shwaaaHabari za mapambano wakuu,
Kuna swali hua najiuliza sana haswa wiki inapoanza jumatatu napokua naelekea kwenye majukumu, hivi watu niliosoma nao primary, seco na chuo mbona asilimia zaidi ya 97% siwaoni? Sio kwenye maofisi ya uma na binafsi, usafiri wa uma kama daladala na mwendo kasi, sehemu za huduma za kijamii kama migahawani au hata za ibada (kwa mimi msikitini).
Niwe mkweli napenda sana privacy na ninafurahi kutoonana na watu naowajua hovyo ila haiondoi hilo swali kichwani! Kwenye utafutaji nina uzoefu wa miaka 9+ kwenye ajira makampuni tofauti lakini pia nishajichanganya sehemu tofauti tofauti mikoa yote mikubwa apa nchini cha ajabu ni nadra kukutana ata na wafanyakazi wenzangu wa zamani au wapambanaji wengine tulio hustle nao.
Maex ndio sinaga bahati ya kuonana kabisaaa wakati nilikua lewandowski mmoja sniper sikosi, ila kwa hili nashkuru hao sina ata shauku ya kuonana nao.
Na kuna marafiki wa utotoni mliokua mtaani pamoja, sjui wameyeyukia wapi? Ubaya hua nikikuta nimewekwa group najitoa naonaga upuuzi kukuta msg 628+ kusoma ata kujibu ni mzozo.. ila mada ni kuonana ata kwa juu juu humu mjini kwahiyo magroup sio kesi bado.
Kuna muda hua najiuliza au watu wamekua wamebadilika labda mwengine kufutuka sana ata huwezi mjua? Kwa mimi watu wengi huniambia wajihi wangu haubadiliki tokea utotoni so ni rahisi kunijua na imenitokea mara kadhaa mtu ananikumbusha ila simkumbuki. Hivo inawezekana napishana na watu waliobadilika kiasi cha kutokumtambua? Hili silipi uzito.
Hivi kuna member mwengine hua anajiuliza kama mimi na ina tija kuwaza hivo?
Kiongozi pia nmeongelea mliosoma wote, mliokua wote n.k wewe umeona ya kunjunjana tu 😂Nahisi huwa mapepo ya muda ya kuwakutanisha mnajuana kimapenxi nk mnaachana shwaaa
Kama mimi tu haswa ma ex, ila sasa naji mix sehemu nyingi sana kiasi kwamba nabaki najiuliza, ila nahisi kundi kubwa tu limekufa kitambo na hatujui 🤣Kwa upande wangu nafurahi kiasi fulani kutokutana na watu ninaofamiana nao
Ulitaka kupasha kiporo, me ma ex wengi waliskia nilioa ikawa kufuli mileleM nakumbuka mpaka sasa si GFriend WA secondari Wala primary niliewahi kujua yukoo ama wako wapiiiiiii
Na kila nikikutana na mates nikiwaulizia WANASEMA hawajui walipoo woi nkaona tukutane nao mbinguni tu
Hakika mbele wao, nyuma sie mkuu.. pole sanaSadly ,nimezika classmates wengi sana mpaka sasa tena wa karibu kabisa ,wawili wa kike ni changamoto ya uzazi ... Wengi ni kuumwa na ajali.
Primary darasani 200 mbona wengi sana nakumbuka mieTuanze hesabu,
Primary darasani mlikua 200
Secondary daradani mlikua 200
A Level darasani mlikua 100
Chuo labda 200
Hawa jumla ni watu 700.
Tanzania ina watu jumla 70millioni approximately. So probability ya kukutana na watu Hawa 700 katika watu wote 70millioni walioko Tanzania ni 0.00001.
Katika hiyo list wanazidi ata 10 katika circle yako? Mnaonana na classmates wa zamani?Primary darasani 200 mbona wengi sana nakumbuka mie
1.primary tulikuwa-84
2.secondary-70
3.form six-80
4.Chuo-150.
Sure mkuu, apa M60+ tu ni hiviHuko China na India ambapo kuna watu 1.4Bilioni ndio unaweza usionane kabisa na mtu