Watu msibani na makabulini wanalia na mengi

Kuna vijana wana viburi sana mbele ya wazazi wao,wazazi wakifa wanajifa wanauchungu na kulia nyenye nyenye huwa nachukia sana.
kitu hakina umuhim sana kama unacho ila pia tusilaumiane sana
 
umeandika ukwel mkuu watu uonekana msibani sio kwenye kumlea mgonjwa
 
Kwel..kuna jamaa yangu mama yake alikua anaumwa akawa anatuma hela ila ikafika muda mam yake akamwambia uje..jamaa alipanda ndege fasta..alipofika akamuwekea mkono akasema wenzako hawajaja ila kwakua wewe umekuja nakufungulia milango… ndugu zako naifunga…mama akafariki..usiulize nn kilitokea..hawa wazee sio wakuwaacha wakiwa kwenye wkt mgumu
 
Mama yangu alifariki mwaka 1996 nikiwa darasa la kwanza. Nikiikumbuka sura yake na wish nimuone hata dakika moja ningefurahi maisha yangu yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…