The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,275
Gwanda la dini limetukaa vema wabongo.
Mkristo na mzungu; mwislamu na mwarabu. Tutafika tu, hata kama tuendako ni akhera.
Gwanda la dini limetukaa vema wabongo.
Mkristo na mzungu; mwislamu na mwarabu. Tutafika tu, hata kama tuendako ni akhera.
Heshima mkuu
Let the truth be told.... Labels tumeshazoea ukweli wasioupenda ukisemwa.
Kuna vijana wengi tu wananufaika na hii historia hapa jamvini, na wana uhuru wa kwenda kufanya tafiti zao wakipenda.
Gwanda la dini limetukaa vema wabongo.
Mkristo na mzungu; mwislamu na mwarabu. Tutafika tu, hata kama tuendako ni akhera.
Zakumi,Blue Ray:
Vita vya pili vya dunia na askari walitoka nje ya Africa walikuwa na impact kubwa kuliko hivyo vyama vya ushirika.
Vyama vya ushirika havikuwa base za TANU, TAA ilikuwa na matawi kila kona Tanzania kabla vyama vya ushirika kuanza.
Matawi ya Yanga yalifanya kazi kubwa sana kuliko hivyo vyama vya ushirika.
Hivi leo hii kuwakumbuka watanzania waliojitolea muhanga kutafuta uhuru wa nchi hii imekua dhambi? au kwa vile wengi majina yao "yanakera"?
Obama wakati anakuja kuapishwa alirelive Abrahams Lincoln train journey,... kuna baadhi waliona ni ujinga, lakini kwa wengi wanaofahamu umuhimu wa historia, walikubali gesture ya Obama kama kiongozi kwa kitendo kile. Sababu wanajua kazi ya historia.
Hapana,Karibu katika kila wilaya aliyoacha mkoloni kulikuwa na tawi la Yanga na Simba. Kwa mfano wilaya ya Kilosa walikuwa na YETU na SIME. Ukienda Mwanza hipo Toto Africa. Na hii ndio sababu kubwa sana kwa Tanzania kuwa na mashabiki wa timu mbili: Yanga au Simba.
Hivyo vyama vya ushirika vilijaa ukabila kuliko matawi ya Yanga na Simba.
Hapana. Sijakubali Nyerere ni muuaji. Usiniwekee maneno kinywani nikiwa bado hai. Sijui nani aliyemwua Babu yako. Lakini nina hakika hakuwa Nyerere.kweli JF shule...siku zote asojuwa maana haambiwi maana.
Afadhali umekubali Nyerere muuwaji.
Hapana. Sijakubali Nyerere ni muuaji. Usiniwekee maneno kinywani nikiwa bado hai. Sijui nani aliyemwua Babu yako. Lakini nina hakika hakuwa Nyerere.
MkamaP,
Mkandara ameanzisha mjadala kwa lengo zuri kabisa. Lakini hapo katikati mjadala umetekwa nyara na watu wa pwani ambao wanajiona wao wameendelea zaidi ya sisi wa kuja na kwao hawawezi kuona mbali ya udini wao. That is the problem. Na tukiyaachia hivi hivi tutajikuta tunaunda Somalia nyingine.
MkamaP,
Mkandara ameanzisha mjadala kwa lengo zuri kabisa. Lakini hapo katikati mjadala umetekwa nyara na watu wa pwani ambao wanajiona wao wameendelea zaidi ya sisi wa kuja na kwao hawawezi kuona mbali ya udini wao. That is the problem. Na tukiyaachia hivi hivi tutajikuta tunaunda Somalia nyingine.
Mwawado,Mkuu si kweli kwamba Mjadala umetekwa Nyara na watu wa Pwani....Waliouteka Nyara Mjadala ni kikundi kidogo tu cha watu,na ni vyema mkayachukulia mawazo yao kama ni yao Binafsi na si mawazo ya Ujumla ya watu wa Pwani....Hii Tabia ya Udini na Ukabila haitotufikisha popote...Inapaswa watu tuikemee bila aibu...Hakuna suala la Utani hapa,masuala haya ya kutajana kwa udini yalianza taratibu mpaka sasa yameshika kasi ya ajabu...Tusipoupinga ujinga huu gharama yake itakuwa kubwa na Historia itatuhukumu.
historia itabakia kuwa historia na haiwezi kubadilishwa wala kuongezwa chumvi,kama waislamu ndio walioanzisha vuguvugu la kudai uhuru basi hiyo ni historia na ilikuwa hivyo,sasa naona watu wengine wanakuja hapa na kudai mjadala umetekwa na kikundi cha watu wachache wadini,sio ukweli na tusipindishe mada
wengi wetu hapa hatuijui historia ya tanzania wakati kipindi cha vuguvugu la kudai uhuru,mengi tunayoyajua ni hadithi za kina mkwawa,carl peters na nyerere na karume tu kwani hayo ndio yaliyoandikwa sana katika vitabu tulivyotumia shule na secondary,sasa kama wapo wenye ufahamu kwa sababu wamesoma ama kuelezwa na wenye ufahamu jinsi mambo yalivyokuwa kwanini upinge bila kuweka fact zako tena kwa kusema hoja imehamia kwenye udini?
uingereza wenyewe kwenye historia yao wanasema kuwa nchi yao ilikuwa ni ya wakristo sembuse tanzania kuwa vuguvugu la kudai uhuru lilianzishwa na waislam?history ni history na itabaki kuwa history
Andika kitabu nani kakukataza? Waingereza ndio nn? Haitatokea hata siku moja ktk dunia hii ktk nchi yoyote wanaharakati uchwara wakawa na historia kabambe kuliko Rais na chama chake kilichopokea uhuru.
Unawapenda watu waupe ngoja nikupe mfano kwa hao weupe.Wanahakati waliovunja ukomunist Poland alikuwa Pope Paul jonh wa pili pamoja na wafurukutwa ma profesa mvua waliomweka Walesa mtu mwenye elimu ya VETA.
huyu Walesa akaukwaa urais na ukomunist ukavunjwa vunjwa yeye akiwa rais akiwa na backup hiyo niliyokutajia na leo ni kifua mbele ktk historia.
Hawa akina profesa na papa wanatajwi kwa nadra ama hakuna kabisa,.Kuendelea kulazimisha hoja zako nafikiri hutendei haki mda wako.Hao jamaa unaowataja watasikika hivo kidogo kidogo na wengine wenda wasisikike kabisa noway out.