Watu Muhimu katika Historia ya Nchi yetu

Gwanda la dini limetukaa vema wabongo.

Mkristo na mzungu; mwislamu na mwarabu. Tutafika tu, hata kama tuendako ni akhera.
 
Hivi ndivyo Kikwete anataka kuwagawa watanzania ili watu wajadili haya kuliko kujadili kashfa kibao za ufisadi zinazomkabili. Usishangae GT yuko all over haya mambo.
 
Gwanda la dini limetukaa vema wabongo.

Mkristo na mzungu; mwislamu na mwarabu. Tutafika tu, hata kama tuendako ni akhera.

Heshima mkuu

Let the truth be told.... Labels tumeshazoea ukweli wasioupenda ukisemwa.

Kuna vijana wengi tu wananufaika na hii historia hapa jamvini, na wana uhuru wa kwenda kufanya tafiti zao wakipenda.
 
Ukweli .... bwa ha ha ha ha ha
 
Gwanda la dini limetukaa vema wabongo.

Mkristo na mzungu; mwislamu na mwarabu. Tutafika tu, hata kama tuendako ni akhera.

Hii inatokana nafikiri kwa sababu wenda hatujui tunachotaka ktk mustakbali wa taifa letu.

Nafikiri Ni miujiza kukuta wataalamu wa mawasiliano waking'ang'ana kuandika na kujaribu kuvumbuwa ktk karne hii mawasiliano ya era hizo mawasiliano ya farasi nakuyasisitiza yafundishwe ktk mitahala ya karne hii.

Binafsi mijadala ya namna hii sioni pa kutobolea ,na baada ya hapo ccm bwana imetufikisha hapa hicho ndicho kibwagizo teh teh teh teh teh.

Kaka Nyani umepotelea wapi?
 
Blue Ray:

Vita vya pili vya dunia na askari walitoka nje ya Africa walikuwa na impact kubwa kuliko hivyo vyama vya ushirika.

Vyama vya ushirika havikuwa base za TANU, TAA ilikuwa na matawi kila kona Tanzania kabla vyama vya ushirika kuanza.

Matawi ya Yanga yalifanya kazi kubwa sana kuliko hivyo vyama vya ushirika.
Zakumi,
Si kweli kwamba TAA ilikuwa na matawi kila kona ya Tanzania. TANU ndiyo iliyowezesha kuwepo matawi hayo. Vyama vya ushirika vilisaidia sana kusambaza ujumbe wa TANU. Kawawa atakuhakikishia hilo.
 
Hivi leo hii kuwakumbuka watanzania waliojitolea muhanga kutafuta uhuru wa nchi hii imekua dhambi? au kwa vile wengi majina yao "yanakera"?

Obama wakati anakuja kuapishwa alirelive Abrahams Lincoln train journey,... kuna baadhi waliona ni ujinga, lakini kwa wengi wanaofahamu umuhimu wa historia, walikubali gesture ya Obama kama kiongozi kwa kitendo kile. Sababu wanajua kazi ya historia.
 
Last edited:

Historia kama hizi saa zingine ni upuuzi tu.Ni maoni yangu tu
 
Karibu katika kila wilaya aliyoacha mkoloni kulikuwa na tawi la Yanga na Simba. Kwa mfano wilaya ya Kilosa walikuwa na YETU na SIME. Ukienda Mwanza hipo Toto Africa. Na hii ndio sababu kubwa sana kwa Tanzania kuwa na mashabiki wa timu mbili: Yanga au Simba.

Hivyo vyama vya ushirika vilijaa ukabila kuliko matawi ya Yanga na Simba.
Hapana,
Kule kwetu Musoma mjini hatukuwa na Simba au Yanga. Nimekuja wafahamu nilipohamia Dar-es-salaam 1965. Na Victoria Federation Union haikuwa na ukabila. Walikuwepo Wasukuma na Wajita, Wakerewe, na Wakara. You can hardly call that ukabila. If you are to re write history at least check your facts first. And then twist them.
 
kweli JF shule...siku zote asojuwa maana haambiwi maana.
Afadhali umekubali Nyerere muuwaji.
Hapana. Sijakubali Nyerere ni muuaji. Usiniwekee maneno kinywani nikiwa bado hai. Sijui nani aliyemwua Babu yako. Lakini nina hakika hakuwa Nyerere.
 
Japo sikuwepo enzi hizo nafikiri watu hawamtendei haki mzee yule.

Nyerere hakuwa na tabia ya kulipa fadhila eti kwa vile tu umemchangia sh 10 ktk harakati basi akupe uwaziri hata kama darasa kwao ni zero ,kama leo tunayoyaona.

Pili Nyerere alikuwa na zero tolarence, ukifisadi ana kuchangia hata kama ni rafiki yako hakuna kuangalia nyani usoni ktk utawala bora.

Tatu kwa logic za kawaida tu eti alikuwa si mstaarabu amevalishwa kaputula nalo nafikiri ni uzushi, Siamini hao watu wa pwani walikuwa wastaarabu kuliko wakoloni wa kizungu maana Nyerere wakati anajiunga na TAA tayari alikuwa na masters kutoka uingereza na tayari alikuwa kwisha kuwa mwalimu siku nyingi kwa wamision.

Na hata hivyo sioni mantiki kabisa ktk haya mambo sijui wa enzi hizo kuna nini cha ajabu huko
 
MkamaP,
Mkandara ameanzisha mjadala kwa lengo zuri kabisa. Lakini hapo katikati mjadala umetekwa nyara na watu wa pwani ambao wanajiona wao wameendelea zaidi ya sisi wa kuja na kwao hawawezi kuona mbali ya udini wao. That is the problem. Na tukiyaachia hivi hivi tutajikuta tunaunda Somalia nyingine.
 
Mkuu si kweli kwamba Mjadala umetekwa Nyara na watu wa Pwani....Waliouteka Nyara Mjadala ni kikundi kidogo tu cha watu,na ni vyema mkayachukulia mawazo yao kama ni yao Binafsi na si mawazo ya Ujumla ya watu wa Pwani....Hii Tabia ya Udini na Ukabila haitotufikisha popote...Inapaswa watu tuikemee bila aibu...Hakuna suala la Utani hapa,masuala haya ya kutajana kwa udini yalianza taratibu mpaka sasa yameshika kasi ya ajabu...Tusipoupinga ujinga huu gharama yake itakuwa kubwa na Historia itatuhukumu.
 
Mkuu mimi nafikiri tuna tatizo sisi waafrika ,tunakasumba mbaya sana nitakupa mfano wewe unafikiri kwanini waafrika walishabikia/wanashakia kwa Obama kuwa Rais w marekani? Hii label ndiyo tabia yetu chafu.

Inatubidi tufanye kazi haya mambo si mambo ,haya yana mtiririko ule ule Jasus kapata kwa vile katokea pale mugumu basi na mimi Mkama hapa naanza kupanga njisi gani nitapata msaada kutoka kwa jasusi mi nafikiri niulemavu wa kufikiri.kwa kujaribu kwenda kwa jasus na kuanza kuooanisha unajuwa yule babu wa babu yako alikuwa shemeji wa babu wa babu wa baba yangu.

Eti nikifikiri kwa hilo nitakuwa nimejijengea msingi mhimu wa kumega tujimafungu kutoka kwa Jasus.

Wengine utasikia ooh baba yake na Obama alikuwaga Zanzibar so what? nini unataka kuoanisha hapa kama sio ndivyo tulivyo? Tuweni na wivu wa maendeleo jamani tuutafute umaarufu sisi wenyewe na sio tutumie umaarufu wa watu ili kutafuta umaarufu.

Ni hoja yangu tu.
 
Mkuu si kweli kwamba Mjadala umetekwa Nyara na watu wa Pwani....Waliouteka Nyara Mjadala ni kikundi kidogo tu cha watu,na ni vyema mkayachukulia mawazo yao kama ni yao Binafsi na si mawazo ya Ujumla ya watu wa Pwani....Hii Tabia ya Udini na Ukabila haitotufikisha popote...Inapaswa watu tuikemee bila aibu...Hakuna suala la Utani hapa,masuala haya ya kutajana kwa udini yalianza taratibu mpaka sasa yameshika kasi ya ajabu...Tusipoupinga ujinga huu gharama yake itakuwa kubwa na Historia itatuhukumu.
Mwawado,
Asante kwa masahihisho. Nakubaliana na wewe kabisa.
 
historia itabakia kuwa historia na haiwezi kubadilishwa wala kuongezwa chumvi,kama waislamu ndio walioanzisha vuguvugu la kudai uhuru basi hiyo ni historia na ilikuwa hivyo,sasa naona watu wengine wanakuja hapa na kudai mjadala umetekwa na kikundi cha watu wachache wadini,sio ukweli na tusipindishe mada
wengi wetu hapa hatuijui historia ya tanzania wakati kipindi cha vuguvugu la kudai uhuru,mengi tunayoyajua ni hadithi za kina mkwawa,carl peters na nyerere na karume tu kwani hayo ndio yaliyoandikwa sana katika vitabu tulivyotumia shule na secondary,sasa kama wapo wenye ufahamu kwa sababu wamesoma ama kuelezwa na wenye ufahamu jinsi mambo yalivyokuwa kwanini upinge bila kuweka fact zako tena kwa kusema hoja imehamia kwenye udini?
uingereza wenyewe kwenye historia yao wanasema kuwa nchi yao ilikuwa ni ya wakristo sembuse tanzania kuwa vuguvugu la kudai uhuru lilianzishwa na waislam?history ni history na itabaki kuwa history
 
Andika kitabu nani kakukataza? Waingereza ndio nn? Haitatokea hata siku moja ktk dunia hii ktk nchi yoyote wanaharakati uchwara wakawa na historia kabambe kuliko Rais na chama chake kilichopokea uhuru.

Unawapenda watu waupe ngoja nikupe mfano kwa hao weupe.Wanahakati waliovunja ukomunist Poland alikuwa Pope Paul jonh wa pili pamoja na wafurukutwa ma profesa mvua waliomweka Walesa mtu mwenye elimu ya VETA.
huyu Walesa akaukwaa urais na ukomunist ukavunjwa vunjwa yeye akiwa rais akiwa na backup hiyo niliyokutajia na leo ni kifua mbele ktk historia.

Hawa akina profesa na papa wanatajwi kwa nadra ama hakuna kabisa,.Kuendelea kulazimisha hoja zako nafikiri hutendei haki mda wako.Hao jamaa unaowataja watasikika hivo kidogo kidogo na wengine wenda wasisikike kabisa noway out.
 
Bila kumsahau Hamis Heri Ayemba au alikuwa maarufu kule Tanga kwa jina la Hamis Heri ....huyu mzee alikuwa ni Mmanyema kutoka kabila la Wakusu wa Belgian Congo ya enzi hizo.

wangine walikuwa akina

Mohamed Kajembe,

Tuwa Abdallah,

Dhili Mgunya,

Abdallah Rashid Sembe,

Victor Mkello,

Mohamed Sadik,

Mbutta Milando
 
Andika kitabu nani kakukataza? Waingereza ndio nn? Haitatokea hata siku moja ktk dunia hii ktk nchi yoyote wanaharakati uchwara wakawa na historia kabambe kuliko Rais na chama chake kilichopokea uhuru.

Unawapenda watu waupe ngoja nikupe mfano kwa hao weupe.Wanahakati waliovunja ukomunist Poland alikuwa Pope Paul jonh wa pili pamoja na wafurukutwa ma profesa mvua waliomweka Walesa mtu mwenye elimu ya VETA.
huyu Walesa akaukwaa urais na ukomunist ukavunjwa vunjwa yeye akiwa rais akiwa na backup hiyo niliyokutajia na leo ni kifua mbele ktk historia.

Hawa akina profesa na papa wanatajwi kwa nadra ama hakuna kabisa,.Kuendelea kulazimisha hoja zako nafikiri hutendei haki mda wako.Hao jamaa unaowataja watasikika hivo kidogo kidogo na wengine wenda wasisikike kabisa noway out.

kama hutaki andika history yako unayoitaka wewe ya tanzania....huo mfano wako wa mapapa kutokutajwa ndio sawa na tanzania kutowataja walionzisha vuguvugu la kuleta uhuru.
inaonekana roho inakuuma sana kuona watu walionzishwa vuguvugu la kudai uhuru sio wale uliokuwa unawaona mashujaa wa nchi hii ndani ya ubongo wako bwa ha ha haha
 
Bila kusahau kuwa Nyerere huyo huyo ndiye aliyekuwa kiongozi wa kwanza ku ABUSE kazi za usalama wa Taifa pale alipotoa amri wamkamate Sheikh Hassan bin Amir...na Nyerere alifahamishwa na Waziri wa Mambo ya Ndani kuwa Inspekta Generali wa Polisi, Hamza Aziz amekataa kutii amri yake ya kumkamata Mufti. Nyerere alitoa amri kwa Usalama wa Taifa kumkamata Sheikh Hassan bin Amir. Hii ilikuwa ni kinyume na utaratibu kwa kuwa Usalama wa Taifa hawana mamlaka ya kukamata watu.

Usiku wa manane siku hiyo hiyo Sheikh Hassan bin Amir alikamatwa na makachero wa Usalama wa Taifa akapelekwa uwanja wa ndege na kurudishwa Zanzibar.

Hivyo inaelekea hata uozio wa akina Apson ulikuwa ni kuuata mkondo tuu wa ubabe ambao walirithishwa na Babu wa Taifa
 
Back
Top Bottom